Yai la nani?

Yai la nani?

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.

Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??

#ChemshaBongo
 
Hili yai ni la kwako
 
Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.

Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??

#ChemshaBongo
Yan ww chiz kweli! Utie nke ya mwenzio uizalishe halafu unadai mtoto? Balaaa kubwa hili nuksi! Ha ha ha haaaaaaaaa
 
Jogoo akizeeka anataga [emoji3][emoji3]
Bradha hilo yai sio lako na wala sio la jirani yako bali ni la huyo jogoo wako aliyepandwa na majogoo wenzake mpaka akataga, Nahisi jogoo wako atakua na undugu na James delicious
 
Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.

Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??

#ChemshaBongo
Yaani wewe umeianza weekend kwa bia kali.
Jogoo gani anataga yai?
 
Jogoo anataga! Ila lile yai halitotoleki, watu inferior huchukua lile yai na kwenda nalo kwa mganga, wanadai lina kazi kubwa na tamu mno za kichawi.
 
Huyo Jogoo akizeeka lazima awe Jogoo shoga.
 
Back
Top Bottom