Yai na maji

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Inasemekana kwamba kuku anapotaga mayai yake, endapo yataguswa na maji hata kitone tu.. basi mayai hayo 'yataharibika'.

Kama ni hivyo mbona hata yai lenyewe linapotoka huwa katika hali ya ubichi ubichi na haliharibiki...!!!?

Karibuni mayai kwa chai [emoji477][emoji477][emoji477]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasisahau kujibu na juu ya yai la bata, ni kweli ukiligusa tu bata huliacha?

Jambo la pili, watu wanaogopa kukaribia hiyo chai yako kwasababu ya kucha zako (jokes)
 
Avatar mok,
😁😁😁😁 Angalia usijeukaoa mwanamke anayependa hadi za bandia, atakukata kidole maana hawajuagi kabisa kucha ya kukata inaishia wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeua mkuuuu umenishinda tabia.. nitazingatia hilo [emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Angalia usijeukaoa mwanamke anayependa hadi za bandia, atakukata kidole maana hawajuagi kabisa kucha ya kukata inaishia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahuni sio watu wazuri, kucha zote umefuga ila dole la kati umekata. #wazee wa kupima oil
 

Jr[emoji769]
 
Mkuu mshana, nimejaribu kusoma bandiko lako nimeishia kucheka hayo mahusiano ya tunguli na mvua.. eti yasiyo kuwa na water proof wanapata tabu kipindi kama hiki.

Sasa ninarelate vipi hii na yai...! Kuna falsafa gani nyuma yake? Maji na yai.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama yai linavyoogopa maji na tunguli hivyohivyo... Hii theory ni kweli kabisa
Jr[emoji769]
 
Bata akitaga ukihamisha au kuyasogeza kidogo tu mayai yake akija akagundua yako tofauti na alivyoyaacha anazira ataanza kutaga upya na mahali pengine kabisa.
Wasisahau kujibu na juu ya yai la bata, ni kweli ukiligusa tu bata huliacha?

Jambo la pili, watu wanaogopa kukaribia hiyo chai yako kwasababu ya kucha zako (jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…