Yaitishwe maandamano makubwa kupinga wizi wa rasilimali za Watanzania kupitia makaa ya mawe

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Iweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe?

Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana

Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano yaitishwe ili hao wanadhania hii nchi ni mali yao watupishe.
 
Jina lako ni nani ?
Una ishi wapi ?
 
Iweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe?

Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana

Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano yaitishwe ili hao wanadhania hii nchi ni mali yao watupishe.
Naunga mkono
 
P

polisi wa bongo wanapiga balaa
 
Lipeni kodi tule.
Ni haki yenu kulipa kodi
Ni haki yetu kulipwa vizuri.
Watanganyika hamumjui adui yenu halisi .
Ni vyema mtulie tu mlipe kodi
 
Nchi imepigwa ganzi, raia wamepigwa ganzi, na makada nao wamepigwa ganzi.

No one care any more.
 
Ila nyie majamaa mnapenda vurugu kila kitu maandamano like serious!
 
Back
Top Bottom