Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ili iweje?Jina lako ni nani ?
Una ishi wapi ?
Ili tufahamu wewe na wenzako mtakuwa wangapi kwenye hayo maandamano.Ili iweje?
Naunga mkonoIweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe?
Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana
Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano yaitishwe ili hao wanadhania hii nchi ni mali yao watupishe.
polisi wa bongo wanapiga balaaIweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe?
Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana
Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano yaitishwe ili hao wanadhania hii nchi ni mali yao watupishe.
Na sie wenyeweHii ndo shida yetu watz maandamano yaitishwe na nani?