mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Dunia sio sehemu salama tena pamoja na juhudi zote za kuinawirisha.
MTAZAMO WA ISAYA
UTANGULIZI WA ISAYA
Huyu alikuwa mtabiri wa kiebrania aliyeandika maandishi yake mnamo karne ya 8BC akiongozwa na Nguvu iliyo nje ya uwezo wake.
Anakadiliwa kuanza kazi zake mwaka 740BC, na alifanya kazi hiyo ya unabii zaidi ya Miaka 64.
Isaiah anajitambulisha yeye mwenyewe kama nabii(mtabiri wa YAJAYO) kwenye Kitabu chake.
Miongoni mwa mambo ya ajabu aliyowahi kutabiri ni Ujio wa Utawala wa UMEDI NA UAJEMI na akataja Jina la Kiongozi wa dola hilo mfalme KORESHI miaka 150 kabla hajazaliwa kwenye miaka ya 590BC na Kuitawala dunia ya miaka hiyo takribani mwaka 545BC.
ISAYA: YAJAYO HAYAFURAISHI NA DUNIA ILIPO NA INAKOELEKEA
"Dunia inaomboleza, inazimia, walimwengu wanadhoofika, watu wakuu wa dunia wanadhoofika...
Dunia inalewalewa kama mlevi, nayo inawayawaya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utaielemea; NAYO ITAANGUKA WALA HAITA INUKA TENA.
Isaya 24:4,20
MNAZARETI { Yesu aitwaye Kristo}.
Huyu naye kila anayeeleza habari zake anamuita jina lake, mimi na Mwita Mungu, Wengine wanamuita Nabii, Wengine wanamuita Mwalimu mashuhuri, wengine wanamuita Mwanaphilosofia wa aina yake, Wengine wanasema ni mtu wa kufikirika yote mema.
Kikubwa ni Ukweli kwamba katika maandishi yanayomuelezea anasisitiza kwa msimamo mkali bila kupepesa macho kuwa Dunia inakwenda KUANGAMIZWA. Dunia na maisha haya ni kitu cha mpito. Dunia hii itaangamizwa kabisa na atakuja kuanzisha ufalme wake na wote wanaosikia kauli zake. Katika ufalme ule hakuna magonjwa,shida, njaa wala maombolezo ni furaha tele.
Ila kuhusu hii Dunia, Yajayo anasisitiza Hayafurahishi.
UISLAM NA YAJAYO( Nabii Mohammad); Islamic Eschatology
Matukio makubwa ya kutisha pia yanaelezwa kuhusu yajayo katika Uislam kabla ya Kiyama au YAWM AL-QUIAMA.
Kunategewemwa kuwa na Vita kubwa kama inavyoelezewa katika bibilia Harmageddon kule inaitwa siku ya FITNA au AL-MALHAMA AL-KUBRA au kwa washia inafahamika kama GHAYBAH Vita vitakavyoambana na mauaji ya kutisha, Kutakuwa na uharibifu mkubwa na sintofahamu nyingi ambazo zitaongozwa na mpinga kristo ambaye kule anafahamika kama Masih ad-Dajjal.
WANAUTAMADUNI KUTOKA MEXICO.
Upo utamaduni kwenye baadhi ya makabila huko mexico ambao wanaamini Dunia huko nyuma iliwahi kuangamizwa (parallel to Abrahamic Flood Story), Lakini Pia wanaamini huko mbele kitu kama hicho cha Uharibifu kitakuja kutokea tena.
ULIMWENGU WA WANAVYUONI NA WANASAYANSI.
Huku nako Yajayo hayafurahishi ni kutishana kila kukicha.
NASA
Mwaka huu 2018 kuna Kimondo kinachosadikiwa kutua mahala popote katika dunia. Na kinaweza kuponda mahala popote wakati wowote. Miaka michache imepita tulikuwa na Taarifa kuwa kuna JABALI kubwa sana linakuja kwa kasi isiyo ya kawaida kama likiiponda dunia litaisambaza, likiikosakosa litaiyumbisha kiasi cha kuadhili kila kinachooendelea duniani. Lilikadiliwa kufika Duniani ndana ya Miaka mingi ijayo.
GAZETI LA NEW SCIENCE
Gazeti hili limeandika makala hali ya dunia ndani ya Miaka 60 ijayo miongoni mwa analysis zote hii ilichukua umakini wangu.
wanasema Licha ya Silaha nyingi za kinyuklia zilizopo kwa US an RUSSIA. Huko mbeleni tutegemee Vita vya kinyuklia kati ya nchi na nchi, au sehemu na sehemu sio lazima iwe ya kidunia. Inaweza kuwa kati ya hata India na Pakistani.
Licha ya Vita hivyo kuua Maelfu, Wingu kubwa la moshi wenye moto kutoka katika silaha hizo litapaa na kufika angani na kutanda kwenye Ionosphere (Jiografia kidato cha tatu) na Kuzuia miale ya Jua kupenya kuja duniani. Tukio hilo litapelekea matatizo na madhara makubwa kwa dunia yetu.
Unaweza kusoma mwenyewe Bandiko la wananzuoni wa kisayansi waliochambua hilo vizuri.
Article:Multidecadal global Cooling and unprecedented ozone loss following a regional nuclear Conflict.
MWISHO:
Yajayo katika dunia hii Hayafurahisi, uchague kukataa, Uchague kupuuza, ila huo ndio ukweli. Usalama pekee ni wewe na familia yako kufanya maamuzi ya hiyari na ya Thamani Kuchagua kuwa Muhanga wa haya Matukio au Yajayo yaliyombele ya Yajayo Yasiyofurahisha. Kilichombele ya Yasiyofurahisha Kinafuruhisha kwa waliochagua. Binafsi pamoja na kutisha kwote kwa maisha haya, Uwezekano wa kufa wakati wowote kwa sababu zilizondani au nje ya Uwezo wangu, Kwa kujitakia au kutojitakia nimemchagua Yesu maana aliwahi kusema kwenye maandiko ya kale "...Kila amtazamaye mwana (Yesu) na Kumwamini yeye, awe na Uzima wa Milele, nami nitamfufua siku ya mwisho"Yohana 6:40.
Nimefanya utafiti usio rasmi kila mwanadamu ana mtu, kitu, nadharia anayoifuta na kuiamini. Ila Ukiacha hiyo kauli yenye msimamo mkali ya Mnazareti huyo (Yesu) wengine/Vingine vyote havitoi kauli ya ujasili kuwa vitawasaidia kwa lolote wanaoviamini wakati huu tata dunia inayoupitia.
Karbuni kwa maoni mbalimbali wakuu sana.