Yajayo Hayafurahishi; Mtazamo wa Isaya, Mnazareti, Mohammad, Wanautamaduni, na Wanavyuoni wa Kisasa

Yajayo Hayafurahishi; Mtazamo wa Isaya, Mnazareti, Mohammad, Wanautamaduni, na Wanavyuoni wa Kisasa

Acheni uoga wa maisha, mwisho wa dunia ni pale utakapo kufa wewe, watu wengine wataendelea kubaki wakinywa balimi. Ila utubu na kuamini injili.
kuamini injili ili iweje, wakati unadai hakuna mwisho wa dunia.?
Trend inaonyesha hata kama pakiwa hakuna kiyama, dunia inakoelekea kutakuwa na uwezekano wa self-distruction. Mwamini Yesu uokolewe, maana ndiye kiongozi pekee kati ya wote waliowahi kuwepo aliyedai kwa msimamo mkali kuwa atawafufua wanaomuamini. wengine wote hawatoi hiyo fursa.
 
Hizi story za kutishana tu, hamna lolote.
hutishwi unapewa exposure mkuu.
pia unapewa pendekezo la kumfuata Yesu ambaye kwa msimamo mkali na kurudiarudia kuwa ukimuamini haya unayoita ni vitisho kwako inakuwa habari za matumaini.
 
Binafsi siamini hizi dini za watu.....ni propaganda tu. Waafrika tumedanganywa sana miaka zaidi ya 400 na tumekuwa wakereketwa tena zaidi ya waliotuletea ila unashangaa hatuna nabii hata mmoja toka Afrika. Mohammad alikuwa anabaka wake za watu na kuuwa watu at will ila kawa nabii. Kubaka na kuuwa ni dhambi kwanini Mohammad awe nabii for doing what he did? Waafrika tumedanganywa sana, turudi kwa mizimu yetu.
Hakuna aliyemdanganya mwafrika.
Dini hasa ya Kikristo ni ya waafrika hata kabla ya hao wazungu kuja.
Kuna kipindi afrika ilikuwa na wakristo wengi hata kuliko ulaya miaka zaidi ya 1700 iliyopita.
Ukristo mwingi wa ulaya ulianzia afrika.
Usichanganye wahuni waliokuja kuutumia umissionary kama mbinu ya kutawala waafrika, na ukristo halisi.
Afrika ni sehemu bora, ambayo imetajwa na bibilia kuanzia mwanzo nadhani hadi mwisho. Wako mitume wengi tu wa kiafrika japo hawakuandikwa. Hata mke wa Musa aliyewavusha wana wa Israel kutoka misri alikuwa mwafrika. Hivyo watoto wa Musa walikuwa machitara wa kiafrika.
Baba mkwe wake Musa (mwafrika) ndiye aliyetumika na Mungu kutoa hekima ya uongozi na kumuwezesha Musa kutawala wale jamaa. Mungu ameanza kuwatumia waafrika kwenye mambo makubwa hata kabla ya Ukristo.

Mwamini Yesu mkuu, nje yake hakuna nabii wala mdau yoyote anayetoa matumaini ikitpkea umemuamini.
 
Ubongo unefunguka kiasi japo Nina maswali je kama wanasayansi Hao ndo waligundua Dunia ina gravitation force inakuaje itapalaganyika je mvutano utapongua au Kuna upande unavuta zaidi ndo utabaki umeshikana
gravitational force inaukomo wake mkuu tena haiendi mbali.
ukiikimbia dunia kwa spidi inayoitwa (critical Velocity) ndani ya muda utakuwa unaelea bila kubabaisha na Gravitational force.
Wanaposema jabali linapita kwa spidi ya LightYears, ni kwamba hata hivyo vigravitational force haviwezi kufua dafu. Ila ni vitu vya kimakisio. Tukio moja tu litakalomudu kuisambaratisha dunia. Kuja kwa Yesu kuchukua waliomuamini, na waliokufa wakimuamini. Baada ya hapo dunia itakunjwa kama ukurasa.
 
Hapo ndo penyewe. Habari mbaya ya kusikitisha, Yesu amechafuliwa hatari. Kuna watu wanadai wanamuamini lakini wamefanya yao wanayoyajua.

Kifupi ni kuwa, badala ya kufuata miongozo ya Yesu, watu wametengeneza miongozo ya kumfuata Yesu. Sasa kipi sahihi? Nani ana mpango juu ya mwingine? Je ni Yesu mwenye mpango na wanadamu au wanadamu ndio wenye mpango na Yesu?

Iwapo Yesu ndiye mwenye mpango, iweje wanadamu kutengeneza mipango yao na kudai wanamtafta Yesu? Kwani mpango wa Yesu biblia na hasa agano Jipya, lina mapungufu gani hadi kuhitaji busara za binadamu?

Soma kwa tafakari andiko hili.

Mathayo 16:
13Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema Mwana wa Adamu ni nani?”
14Wakamjibu, “Baadhi ya watu husema ni Yohana Mbatizaji, wengine husema ni Eliya na bado wengine husema, ni Yeremia au mmojawapo wa manabii.’’
15Akawauliza, ‘‘Je, ninyi, mnasema mimi ni nani?’’
16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristoa, Mwana wa Mungu aliye hai.’’
17Naye Yesu akamwambia, ‘‘Heri wewe, Simoni mwana wa Yona, kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni. 18 ‘‘Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda

Halafu soma
1Koritho 1:
10Nawasihi ndugu zangu, katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi, ili pasiwepo na matengano katikati yenu na kwamba mwe na umoja kikamilifu katika nia na katika kusudi. 11Kwa maana ndugu zangu, nimepata habari kutoka kwa baadhi ya watu wa nyumbani mwa Kloe kwamba kuna magomvi katikati yenu. 12Maana yangu ni kwamba: Kila mmoja wenu husema, “Mimi ni wa Paulo,” mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” mwingine “Mimi ni wa Kefa” na mwingine “Mimi ni wa Kristo”.
13Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulibishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo? 14Namshukuru Mungu kwamba sikumbatiza mtu ye yote miongoni mwenu isipokuwa Krispo na Gayo. 15Kwa hiyo hakuna mtu ye yote miongoni mwenu anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. 16(Naam, niliwabatiza pia watu wa nyumbani mwa Stefana. Lakini zaidi ya hao sijui kama nilimbatiza mtu mwingine ye yote.) 17Kwa maana Kristo hakunituma ili kubatiza bali kuhubiri Injili na nifanye hivyo si kwa kutumia maneno ya hekima ya kibinadamu ya kushawishi, ili msalaba wa Kristo usije ukakosa nguvu yake.
 
Hakuna aliyemdanganya mwafrika.
Dini hasa ya Kikristo ni ya waafrika hata kabla ya hao wazungu kuja.
Kuna kipindi afrika ilikuwa na wakristo wengi hata kuliko ulaya miaka zaidi ya 1700 iliyopita.
Ukristo mwingi wa ulaya ulianzia afrika.
Usichanganye wahuni waliokuja kuutumia umissionary kama mbinu ya kutawala waafrika, na ukristo halisi.
Afrika ni sehemu bora, ambayo imetajwa na bibilia kuanzia mwanzo nadhani hadi mwisho. Wako mitume wengi tu wa kiafrika japo hawakuandikwa. Hata mke wa Musa aliyewavusha wana wa Israel kutoka misri alikuwa mwafrika. Hivyo watoto wa Musa walikuwa machitara wa kiafrika.
Baba mkwe wake Musa (mwafrika) ndiye aliyetumika na Mungu kutoa hekima ya uongozi na kumuwezesha Musa kutawala wale jamaa. Mungu ameanza kuwatumia waafrika kwenye mambo makubwa hata kabla ya Ukristo.

Mwamini Yesu mkuu, nje yake hakuna nabii wala mdau yoyote anayetoa matumaini ikitpkea umemuamini.

Wewe unaamini kuwa Mohammad alikuwa nabii wa ukweli?
 
Mohammad alikuwa mbakaji, hili halina ubishi....waislam hawataki tu kuamini kwa sababu wamefungwa akili.
Wewe jamaa una ugomvi na Muhammad nini maana ulivyo mng'ang'ania si mchezo.

Ila ukisoma biblia utaona jinsi ilivyowaeleza manabii na kwa sifa mbaya sana za vitendo vya hovyo,yani kama ndiyo kweli manabii walifanya hivyo vitendo kama ilivyoandikwa na biblia basi itakuwa ni ajabu wewe kuja kumtaja Muhammad tu wakati.
 
Hakuna jiwe wala jabali litathubutu kutoka mzunguko wake na kuiponda dunia hata Mara moja..
Shida ni kwamba sayansi haiaminiki kwani kisemwacho leo ni chema baada ya miaka kadhaa utaambiwa si chema tena, ukiambiwa hili ni afya baada ya muda utaambiwa ni sumu. Sasa kwa kuwa sayansi imejikeep kubadilikabadilika ndo maana wakiadvance machine zao za kuona anga LA mbali basi huzidi kuona maruweruwe na kuishia kuja na vitisho kwani akili ya ndogo kujaribu kuchunguza akili Kubwa ni kujibu takia matatizo kama siyo uchizi
 
Huwezi ukamtadi Mungu kupitia mitambo ya kisayansi ambayo inakua upgraded every time, kitendo cha Ku upgrade ni kwamba hizo features alizi add ni bora kuliko ilivokuwa awali, sayansi kwa baadhi ya mambo imeshindwa kuwa stable ndo maana nimeamua kustick na amri za Mungu.
 
Back
Top Bottom