Yajayo Hayafurahishi; Mtazamo wa Isaya, Mnazareti, Mohammad, Wanautamaduni, na Wanavyuoni wa Kisasa

Yajayo Hayafurahishi; Mtazamo wa Isaya, Mnazareti, Mohammad, Wanautamaduni, na Wanavyuoni wa Kisasa

Jana mlileta hadithi nyingi sana mwisho wa siku maandiko yako wazi mohamadi alioa watumwa hakubaka hoja ya kubakwa aina mashiko Kwasababu wote wale walioshindwa vita kumbe walishaolewa na mohamadi kawastiri wajane ww roho inakuuma

Alioa watumwa kwa sababu alikuwa a sexual predator, akijisikia hamu anakwenda vamia sehemu na kuua wanaume wote kisha anachukua wake zao na kuwadu. Usijichekeshe…..yaani mimi roho iniumie kwa kumuonea wivu mbakaji? Ebu soma hizi haya kwanza kwenye Qu'ran ujikumbushe:

1. Thou shall Rape, Marry, and Divorce Pre-pubescent Girls. Qu'ran 65:4
2. Thou shall have Sex Slaves and Work Slaves. Qu'ran 4:3, 4:24, 5:89, 33:50, 58:3, 70:30
3. Thou shall Beat Sex Slaves, Work Slaves, and Wives. Qu'ran 4:34

Ukishamaliza kusoma na kuelewa, rudi kuja kunikosoa, labda pengine nitakuwa na wivu mwingine dhidi ya mbakaji Mohammad.
 
Al Shabab kama kawaida yenu, huwa akili zenu zimefungwa na hampendi kuelewa....nimekujibu lakini bado tu hutaki kuelewa. Usiku mwema, ipo siku akili zitakujia na utaelewa before it's too late.
Eh! nishakuwa Al-shabab tena!!! haya ngoja nikuache.

Vp sasa dini zetu za asili ?nipe mawili matatu huko.
 
Binafsi siamini hizi dini za watu.....ni propaganda tu. Waafrika tumedanganywa sana miaka zaidi ya 400 na tumekuwa wakereketwa tena zaidi ya waliotuletea ila unashangaa hatuna nabii hata mmoja toka Afrika. Mohammad alikuwa anabaka wake za watu na kuuwa watu at will ila kawa nabii. Kubaka na kuuwa ni dhambi kwanini Mohammad awe nabii for doing what he did? Waafrika tumedanganywa sana, turudi kwa mizimu yetu.
HII NDIO ENDING OF THINKING CAPACITY YAKO. UMESEMA UMEDANGANYWA KUHUSU DINI. HIVYO WEWE HUAMINI TENA HIZO DINI AT SAME TIME UMEDANGANYWA KUHUSU MOHAMMED KISHA UNAAMINI KATIKA HUO UONGO.
FOOLISH
NI VIZURI KAMA UNGEKUWA UNA AKILI BASI HATA HUYO MOHAMMAD USINGEAMINI KAMA ALIWAHI KUWEPO, TOFAUTI NA HAPO UTADANGANYWA MPAKA KUFA KWAKO.
 
Yale yale, kukariri mistari then mtu anatokwa na povu bil kujuwa unabisha nini. Kiufupi hizi dini zote wakristu na haswa waislam ni dini za kivita. Mkuu unataka kuniambia hujuwi kama Mohammad alikuwa anauwa watu na kubaka wake za mateka wake? Mbona hata vitabu vya Hadith na Qu'ran hii kitu imeandikwa? Unasoma Qu'ran na Hadith ipi mwenzetu? Wanayoyafanya makundi ya Al Shabab, Mujahedeen, Boko Haram, na makundi mengine ya kigaidi ndiyo aliyokuwa anafanya Mohammad, tofauti iliyopo kati yao ni kwamba yeye Mohammad alikuwa havai mabomu mwilini kwa sababu alikuwa hana hiyo technology. Ila yeye alikuwa anaua na kubaka wanawake na ndiyo maana watu walikuwa hawampendi na kumwinda ili wamuue kwani wengi walikuwa hawaamini kama yeye ni nabii kweli zaidi ya kundi lake la kijeshi, hatimaye wayahudi walifanikiwa kumuua. Ulikuwa hujuwi haya?
BADO TU UNAAMINI UONGO
 
Si kama napendelea upande mmoja ila hujanielewa tu. Naomba uniambie kitabu kipi kati ya hivi (Torat, Biblia, Qu'ran, Enclopaedia, History, Google Search) kinachoelezea kuwa Yesu au Moses alikuwa anaua watu na kubaka wake zao? Only Mohammad did tena kwa raha zake kwa sababu alichokuwa anafanya kila anapovamia sehemu ilibidi LAZIMA aue wanaume na kubaka wake zao, nani anabisha? Huu ni unabii kweli?
Kwenye Quran wapi wameandika Mohammad alikuwa anabaka?
 
Very good, still waislam hawataki kukubali hii kitu.....kwenye vitabu vyao imeandikwa haya kuwa Mohammad alikuwa mbakaji na muuwaji, hivi kweli Mungu atukataze sie kutenda dhambi halafu atugeuke na kumwambia Mohammad aendelee kubaka na kuua tu, jamani inakuja kichwani hii? Mimi siamini kama kweli Mohammad alikuwa nabii wa kiukweli kutokana na matendo yake ya kifedheha kwa watu. Alijipa tu unabii yeye mwenyewe na askari wake kwa kuwa walikuwa dhaifu nao wakawa wanamuendekeza na kumtukuza.
YAANI UNAAMINI HISTORIA(HADITHI ZA VITABU VYA KALE) KISHA UNAPINGA HISTORIA KWA KUTUMIA HISTORIA
 
BADO TU UNAAMINI UONGO

Uwongo uko wapi hapo.....usijiaminishe vitu visivyo na maana kijana, soma upate kupevuka. Mwenzio nimesema hizi dini zote mbili (Ukristu na uislam) ndipo nikaona hazina faida zozote kwetu.
 
YAANI UNAAMINI HISTORIA(HADITHI ZA VITABU VYA KALE) KISHA UNAPINGA HISTORIA KWA KUTUMIA HISTORIA

Hizo ni hadith zenu waislam, kwani nyie si bado mnafuata sheria za kale mpaka leo hii au wewe tu ndiyo hufuati?
 
YAANI UNAAMINI HISTORIA(HADITHI ZA VITABU VYA KALE) KISHA UNAPINGA HISTORIA KWA KUTUMIA HISTORIA

Kijana Mosaby nahisi una akili timamu.....wewe kama ni muislam LAZIMA utakuwa unajuwa kuwa Uislam una base katika three (3) doctrines nazo ni Qu'ran, Sira, Hadith (ambazo zaidi ya 80% vinazungumzia maisha ya Mohammad tu na vituko vyake).....sasa kwanini unapinga hivi vitabu na kusema ni vya kale? Sheria zote za dini ya Kiislam ziko based therein, wewe unafuata dini gani? Narudia, usipende kukariri tu, some upevuke.
 
Una uthibitisho gani kama mimi mwislam halafu napinga hivyo vitabu?
Kinachotakiwa uongee fact based on reality and not fact based on historical narration. Je utawaaminije baadhi ya history na zingine usiziamini? Unatakiwa uprove theory zako kwa current event and not historical event. Una hakika gani kama walioandika hizo story wako 100% correct?
 
Waislam wanadai Qu'ran kimeshushwa na Mungu na nimequote hivyo vitu from that holly book, kama unabisha wabishie waislam, all I did was quoting what I read in school na si kuambiwa tu mtaani. Sasa kama Qu'ran ni maandiko ya Mungu wewe unambishia Mungu? Basi Mpigie simu umbishie.
 
Uwongo uko wapi hapo.....usijiaminishe vitu visivyo na maana kijana, soma upate kupevuka. Mwenzio nimesema hizi dini zote mbili (Ukristu na uislam) ndipo nikaona hazina faida zozote kwetu.
Kuamini kuwa Mohammad alifanya hayo wakati hayo yameandikwa na mtu kama wewe.
 
Waislam wanadai Qu'ran kimeshushwa na Mungu na nimequote hivyo vitu from that holly book, kama unabisha wabishie waislam, all I did was quoting what I read in school na si kuambiwa tu mtaani. Sasa kama Qu'ran ni maandiko ya Mungu wewe unambishia Mungu? Basi Mpigie simu umbishie.
Kama wewe haumbishii. Kwanini unampinga?(usitumie jazba jibu kistaarabu) Hicho ulichofundishwa shule una hakika gani kuwa ni correct? Je itakuwaje kama waliokufundisha wako katika mfumo wa kuendelea kukudanganya kama Yesu na Muhammad?
 
Mkuu naona una matatizo ya akili, rudia post zangu huko nyuma yote nimeeleza na ushahidi nimetoa, kwa kuwa unanipima uelewa wangu ngoja nikupe ushahidi mwingine. Nikujibu kama ulivyoniuliza.

1. Mtume alikuwa anavamia maeneo ya watu na kuua wanaume wote kisha anabaka wake zao yeye na jeshi lake, hii siyo siri hata kwenye Qu'ran imeandikwa….soma Qu'ran na vitabu vya Hadith utapata ukweli. Msikariri tu vitu bila kujuwa undani wake. Ifuatayo ni moja tu ya vituko vya uvamizi wa Mohammad:

Bukhari

  1. Narrated Ibn Aun: I wrote a letter to Nafi and Nafi wrote in reply to my letter that the Prophet had suddenly attacked Bani mustaliq without warning while they were heedless and their cattle were being watered at the places of water. Their fighting men were killed and their women and children were taken as captives; the Prophet got Juwairiya on that day. Nafi said that Ibn ‘Umar had told him the above narration and that Ibn ‘Umar was in that army. Ushahidi wake huko hapa (Book #46, Hadith [HASHTAG]#717[/HASHTAG])
2. Mohammad alimuoa mtoto Aisha, si Mama (kama unavyomuita) kwani alikuwa ni mtoto wa miaka 6 ila alianza kumbaka akiwa na miaka 9. Wewe hapo ulipo ukibaka mtoto wa miaka 9 nini kinajiri ukikamatwa? Ufuatao ni uthibitisho wa Muhammad kufanya mapenzi na mtoto Aisha. Fuatilia haya maandiko kwenye hivyo vitabu:

Muhammad’s marriage to 6yr old Aisha-(Sahih Al-Bukhari, Volume 5, Book 58, Number 234 and 236).

— Aisha cleans Muhammad’s semen stains (shahawa za Mohammad) - (Sahih Al-Bukhari, Volume 1, Book 4, Number 229-233),

— Muhammad fondling Aisha during her ‘Menses’- (Sahih al-Bukhari, Volume 1, Book 6, Number 298-300, Sunan Abu Dawud, Book 1, Number 0270)

— Muhammad liked to have intercourse with Aisha and his other wives when they were menstruating (Sahih Muslim, Book 003, Number 0577-0579),

3. Wewe hapo ulipo unaruhusiwa kubaka ama kuua? Hivi vitu vingine si LAZIMA uende shule mpaka ujuwe, tumia akili yako kwa kufikiri kijana. Au jiulize, mtu aje kubaka mtoto wako wa miaka 9 wewe utafanyaje, utamchekelea tu na kumpigia makofi?

Kaka sijaona ushahidi wa nani alibakwa na mtume amani iwe juu yake,unaleta nukuu ambazo ziko dhidi yako.

Wewe umeshakubali kabisa kwamba mtume alimuoa mama Aisha,sasa vipi ambake ?

Pili ungekuwa mtu mwenye busara na mtazamo chanya,ungeuliza kwanini nimemuita Aisha mama,Allah amridhie mama. Allah aliye juu ametuambia ya kuwa wakeze mtume ni mama zetu.

Kadhalika bado hujaonyesha ni wapi aliolewa mama Aisha akiwa na miaka 9 na wala hujaonyesha ni wapi alibaka.

Nasubiri majibu. Pia ujifunze kunukuu maandiko,kisha uyasome na uyaelewe.
 
Ingawa simuamini huyu Muhamad lakini wanaume wa enzi hizo walikuwa vilaza sana.
Maana alijua hawa jamaa wasingekubali kupigana vita vyake na alijua tamaa zao kubwa ni ngono.
Ndio maana akawaambia tukishinda vita kila mwanaume ajitwalie mwanamke mateka amfanye mkewe.
But wakashutuka mmh sasa je tukifa?????
Ndio fasta akachanganya kichwa akawaambia atakayekufa vitani akieneza dini ya Mungu basi atakutana na wanawake bikra 70...ni just simple logic...jamaa mzuka ukawaingia wakawa mapanga fyaa.....
NB: Na ndio maana huoni zawadi ya wanawake wakifika huko kama watapewa wanaume 70 sababu kwenye mipango yake ya vita hawakuwepo...so hawakuwepo nao kuhoji zawadi zao.
Mic Drop!!!
 
Ilo jiwe lije tu Ata saizi nimechoka kula malage kila cku mm.....[emoji57]
 
Mohammad alikuwa ni mtu wa varangati, aliua sana watu na kuwabaka wanawake japo wengine aliwachinja kama kuku (beheading), pia mmoja kati ya wake zake alikuwa mtoto wa miaka 6 wakati yeye akiwa na miaka 52, sasa fikiria Mungu anaruhusu haya kweli? Hizi dini za mashariki ya kati ni za utata mtupu.....waafrika inabidi tujiangalie. Jamani someni historia mjuwe ukweli.
Kuoa mke wa miaka sita sioni ajabu, Kuna mila za baadhi ya maeneo mtoto anachumbiwa tangu akiwa mchanga lkn majukumu yake ya mke atatekeleza akishakuwa.

Kumbuka kuwa Muhammad licha ya kuwa ni nabii lakini aliziishi baadhi ya mila ambazo hazipingani na amri za Mwenyezi MUNGU. Mfano wa mila mbaya ambayo Mtume Muhammad aliipoga marufuku ni tabia ya baadhi ya waarabu kuwaua watoto wachanga wanapozaliwa wakiwa wanawake na wakati wazazi walikuwa wakitarajia mtoto wa kiume. Yapo mengi yalipigwa marufuku ikiwemo zinaa, kamali, ulevi, kuua pasipo haki n.k.

Tusimsingizie Muhammad uongo kwa vile tu tunachuki na uislam kwasababu ya mapenzi ya dini zetu. Ni bora kuwa kimya kwa jambo usilokuwa na hakika nalo kuliko kuzusha uongo. Sina hakika ukiulizwa muhammad alimuua nani na kwasababu gani utajibu nini? Infact kuua ni jambo baya lkn si jambo la ajabu maana hata wewe mtu akikuprovoke to the maximum waweza kuua and it is legal.

Mtu unashindwa hata kujiulliza swali jepesi why millions of wise people on earth follow muhammad baadala yake unatunga mambo usiyoyajua. Ukitaka kuujua uchawi sharti ujifunze kwa wachawi wenyewe na ukitaka kuujua uislam sharti ujifunze kwa waislam wenyewe sio unaenda kujifunza isilam kanisani halafu unasema unaujua. Infact wapo pia baadhi ya waumini wa dini ya kiislam wajinga kama ww wanaofundishwa ukristo msikitini halafu wanasema wanaujua ukristo kumbe wapotoshaji tu.

Kukaa kimya ni bora zaidi kwa jambo usilolijua. Inahitaji hekima kidogo tu kutambua jambo hili. Cha ajabu ww unajiita mkristo lkn unalalamika watu wengi kufa kwa harakati za muhammad kueneza uislam lakni hulalamiki MUNGU wa waisrael aliyeamuru waisrael toka misri wawaue watu wote watakaowakuta katika nchi ya kanaan. Kuna dalili zote ww huzijui hata hizi dini bali umedandia tu kwa mbele gari linaloitwa dini. Soma dini zote uelimike sio usome dini moja kukuza mahaba yako kwa dini husika.
 
Mkuu naona una matatizo ya akili, rudia post zangu huko nyuma yote nimeeleza na ushahidi nimetoa, kwa kuwa unanipima uelewa wangu ngoja nikupe ushahidi mwingine. Nikujibu kama ulivyoniuliza.

1. Mtume alikuwa anavamia maeneo ya watu na kuua wanaume wote kisha anabaka wake zao yeye na jeshi lake, hii siyo siri hata kwenye Qu'ran imeandikwa….soma Qu'ran na vitabu vya Hadith utapata ukweli. Msikariri tu vitu bila kujuwa undani wake. Ifuatayo ni moja tu ya vituko vya uvamizi wa Mohammad:

Bukhari

  1. Narrated Ibn Aun: I wrote a letter to Nafi and Nafi wrote in reply to my letter that the Prophet had suddenly attacked Bani mustaliq without warning while they were heedless and their cattle were being watered at the places of water. Their fighting men were killed and their women and children were taken as captives; the Prophet got Juwairiya on that day. Nafi said that Ibn ‘Umar had told him the above narration and that Ibn ‘Umar was in that army. Ushahidi wake huko hapa (Book #46, Hadith [HASHTAG]#717[/HASHTAG])
2. Mohammad alimuoa mtoto Aisha, si Mama (kama unavyomuita) kwani alikuwa ni mtoto wa miaka 6 ila alianza kumbaka akiwa na miaka 9. Wewe hapo ulipo ukibaka mtoto wa miaka 9 nini kinajiri ukikamatwa? Ufuatao ni uthibitisho wa Muhammad kufanya mapenzi na mtoto Aisha. Fuatilia haya maandiko kwenye hivyo vitabu:

Muhammad’s marriage to 6yr old Aisha-(Sahih Al-Bukhari, Volume 5, Book 58, Number 234 and 236).

— Aisha cleans Muhammad’s semen stains (shahawa za Mohammad) - (Sahih Al-Bukhari, Volume 1, Book 4, Number 229-233),

— Muhammad fondling Aisha during her ‘Menses’- (Sahih al-Bukhari, Volume 1, Book 6, Number 298-300, Sunan Abu Dawud, Book 1, Number 0270)

— Muhammad liked to have intercourse with Aisha and his other wives when they were menstruating (Sahih Muslim, Book 003, Number 0577-0579),

3. Wewe hapo ulipo unaruhusiwa kubaka ama kuua? Hivi vitu vingine si LAZIMA uende shule mpaka ujuwe, tumia akili yako kwa kufikiri kijana. Au jiulize, mtu aje kubaka mtoto wako wa miaka 9 wewe utafanyaje, utamchekelea tu na kumpigia makofi?
Mheshimiwa, mbona hicho kisa cha Banu Mustaliq unakisimulia nusu? Mantiki yako ni nini? Hii ni chuki au ni nini? Ni roho mbaya au tuiitaje? Kama hupendezwi na uislam waache waliyopendezwa nao. Utaishi maisha ya raha tu, tatizo liko wapi. Ukikutana na wenye jazba watakuja kukuumiza mwisho wa siku uandike waislamu wakorofi.

Hicho kisa cha Banu Mustaliq kinapatikana katika Zaad al' Maad mjeledi wa 2/ 112, 113..Ibn Hisham 2/289,290,294 na 95. Ilikuwa ni Bani Al ' Mustaliq ndiye was mwanzo aliyeyaanza na habari zikamfikia Mtume s.a.w na ilikuwa ni mwezi Shaaban ya pili, kwamba kiongozi wa Bani Al' Mustaliq kwa jina ni Al harith bin Dirar amekusanya jeshi lake na pamoja na baadhi ya waarabu kuivamia Madinah. Buraidah bin Al' hasiib Al' aslam kwa haraka akatumwa aende akachunguze kupata uhakiki wa hiyo habari kuhusu Banu Mustaliq. Akakutana na Abi Dirar kiongozi wa Banu Mustaliq, akazungumza naye ili kuepusha vita aliyokusudia kuifanya. Abi Dirar akakataa akaweka wazi nia yake na akatangaza vita.

Huo ni muhtasari, ukitaka habari kamili pitia vitabu nilivyoweka hapo juu. Sipati picha yaliyo moyoni mwako kama unayo ya dhihirisha yapo hivi. Hata kama mtu/jamii ina/ana' kosea tumia hekima kumu/ kuwa- elimisha. Njia unayoitumia si nzuri kiukweli hata kama waislamu wanakosea.
 
Kijana Mosaby nahisi una akili timamu.....wewe kama ni muislam LAZIMA utakuwa unajuwa kuwa Uislam una base katika three (3) doctrines nazo ni Qu'ran, Sira, Hadith (ambazo zaidi ya 80% vinazungumzia maisha ya Mohammad tu na vituko vyake).....sasa kwanini unapinga hivi vitabu na kusema ni vya kale? Sheria zote za dini ya Kiislam ziko based therein, wewe unafuata dini gani? Narudia, usipende kukariri tu, some upevuke.
Mheshimiwa, haya mambo utakuja kuaibika bure. Haya, tupatie ushahidi wa kiislam unaothibiti kwa hayo uliyoandika kama wewe ni msema kweli.

Sihitaji fikra yako nahitaji ushahidi.
 
Back
Top Bottom