Yajayo Hayafurahishi; Mtazamo wa Isaya, Mnazareti, Mohammad, Wanautamaduni, na Wanavyuoni wa Kisasa

Dunia sio sehemu salama tena pamoja na juhudi zote za kuinawirisha.

MTAZAMO WA ISAYA
800px-Antonio_Balestra_-_Prophet_Isaiah.jpg

UTANGULIZI WA ISAYA

Huyu alikuwa mtabiri wa kiebrania aliyeandika maandishi yake mnamo karne ya 8BC akiongozwa na Nguvu iliyo nje ya uwezo wake.
Anakadiliwa kuanza kazi zake mwaka 740BC, na alifanya kazi hiyo ya unabii zaidi ya Miaka 64.
Isaiah anajitambulisha yeye mwenyewe kama nabii(mtabiri wa YAJAYO) kwenye Kitabu chake.
Miongoni mwa mambo ya ajabu aliyowahi kutabiri ni Ujio wa Utawala wa UMEDI NA UAJEMI na akataja Jina la Kiongozi wa dola hilo mfalme KORESHI miaka 150 kabla hajazaliwa kwenye miaka ya 590BC na Kuitawala dunia ya miaka hiyo takribani mwaka 545BC.

ISAYA: YAJAYO HAYAFURAISHI NA DUNIA ILIPO NA INAKOELEKEA
The-End-of-the-World.jpg

"Dunia inaomboleza, inazimia, walimwengu wanadhoofika, watu wakuu wa dunia wanadhoofika...
Dunia inalewalewa kama mlevi, nayo inawayawaya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utaielemea; NAYO ITAANGUKA WALA HAITA INUKA TENA.

Isaya 24:4,20

MNAZARETI { Yesu aitwaye Kristo}.

Matthew24v6_8.jpg

Huyu naye kila anayeeleza habari zake anamuita jina lake, mimi na Mwita Mungu, Wengine wanamuita Nabii, Wengine wanamuita Mwalimu mashuhuri, wengine wanamuita Mwanaphilosofia wa aina yake, Wengine wanasema ni mtu wa kufikirika yote mema.
Kikubwa ni Ukweli kwamba katika maandishi yanayomuelezea anasisitiza kwa msimamo mkali bila kupepesa macho kuwa Dunia inakwenda KUANGAMIZWA. Dunia na maisha haya ni kitu cha mpito. Dunia hii itaangamizwa kabisa na atakuja kuanzisha ufalme wake na wote wanaosikia kauli zake. Katika ufalme ule hakuna magonjwa,shida, njaa wala maombolezo ni furaha tele.
Ila kuhusu hii Dunia, Yajayo anasisitiza Hayafurahishi.

UISLAM NA YAJAYO( Nabii Mohammad); Islamic Eschatology

maxresdefault.jpg

Matukio makubwa ya kutisha pia yanaelezwa kuhusu yajayo katika Uislam kabla ya Kiyama au YAWM AL-QUIAMA.
Kunategewemwa kuwa na Vita kubwa kama inavyoelezewa katika bibilia Harmageddon kule inaitwa siku ya FITNA au AL-MALHAMA AL-KUBRA au kwa washia inafahamika kama GHAYBAH Vita vitakavyoambana na mauaji ya kutisha, Kutakuwa na uharibifu mkubwa na sintofahamu nyingi ambazo zitaongozwa na mpinga kristo ambaye kule anafahamika kama Masih ad-Dajjal.

WANAUTAMADUNI KUTOKA MEXICO.
5aa2f1aec6e980060a8b45eb-750-396.jpg

Upo utamaduni kwenye baadhi ya makabila huko mexico ambao wanaamini Dunia huko nyuma iliwahi kuangamizwa (parallel to Abrahamic Flood Story), Lakini Pia wanaamini huko mbele kitu kama hicho cha Uharibifu kitakuja kutokea tena.

ULIMWENGU WA WANAVYUONI NA WANASAYANSI.
Huku nako Yajayo hayafurahishi ni kutishana kila kukicha.

NASA
Asteroid-2018-AJ-NASA-906720.jpg

Mwaka huu 2018 kuna Kimondo kinachosadikiwa kutua mahala popote katika dunia. Na kinaweza kuponda mahala popote wakati wowote. Miaka michache imepita tulikuwa na Taarifa kuwa kuna JABALI kubwa sana linakuja kwa kasi isiyo ya kawaida kama likiiponda dunia litaisambaza, likiikosakosa litaiyumbisha kiasi cha kuadhili kila kinachooendelea duniani. Lilikadiliwa kufika Duniani ndana ya Miaka mingi ijayo.

GAZETI LA NEW SCIENCE
t1650049-first_hydrogen_bomb_explosion_1952-800x533.jpg

Gazeti hili limeandika makala hali ya dunia ndani ya Miaka 60 ijayo miongoni mwa analysis zote hii ilichukua umakini wangu.
wanasema Licha ya Silaha nyingi za kinyuklia zilizopo kwa US an RUSSIA. Huko mbeleni tutegemee Vita vya kinyuklia kati ya nchi na nchi, au sehemu na sehemu sio lazima iwe ya kidunia. Inaweza kuwa kati ya hata India na Pakistani.

Licha ya Vita hivyo kuua Maelfu, Wingu kubwa la moshi wenye moto kutoka katika silaha hizo litapaa na kufika angani na kutanda kwenye Ionosphere (Jiografia kidato cha tatu) na Kuzuia miale ya Jua kupenya kuja duniani. Tukio hilo litapelekea matatizo na madhara makubwa kwa dunia yetu.
Unaweza kusoma mwenyewe Bandiko la wananzuoni wa kisayansi waliochambua hilo vizuri.
Article:Multidecadal global Cooling and unprecedented ozone loss following a regional nuclear Conflict.

MWISHO:
Yajayo katika dunia hii Hayafurahisi, uchague kukataa, Uchague kupuuza, ila huo ndio ukweli. Usalama pekee ni wewe na familia yako kufanya maamuzi ya hiyari na ya Thamani Kuchagua kuwa Muhanga wa haya Matukio au Yajayo yaliyombele ya Yajayo Yasiyofurahisha. Kilichombele ya Yasiyofurahisha Kinafuruhisha kwa waliochagua. Binafsi pamoja na kutisha kwote kwa maisha haya, Uwezekano wa kufa wakati wowote kwa sababu zilizondani au nje ya Uwezo wangu, Kwa kujitakia au kutojitakia nimemchagua Yesu maana aliwahi kusema kwenye maandiko ya kale "...Kila amtazamaye mwana (Yesu) na Kumwamini yeye, awe na Uzima wa Milele, nami nitamfufua siku ya mwisho"Yohana 6:40.

Nimefanya utafiti usio rasmi kila mwanadamu ana mtu, kitu, nadharia anayoifuta na kuiamini. Ila Ukiacha hiyo kauli yenye msimamo mkali ya Mnazareti huyo (Yesu) wengine/Vingine vyote havitoi kauli ya ujasili kuwa vitawasaidia kwa lolote wanaoviamini wakati huu tata dunia inayoupitia.

Karbuni kwa maoni mbalimbali wakuu sana.
Kweli yajayo yanatisha!
 
masoud mshahara usiwe mwehu wa kukariri tu vitu bila kujuwa, we si mtoto. Kwani hujasoma Hadith au hata Qu'ran tukufu? Usipende kukariri tu bila kujuwa unakariri nini, hii ni dhana potofu na imepitwa na wakati. Jaribu kufunguka kwa kupenda kusoma na uelewe unasoma nini. Mtume Mohammad alikuwa anabaka wanawake na pia alikuwa muuaji….ulikuwa hujuwi hili?
Umepanic sasa tulia hivyo hivyo nakuuliza amri ya kuua watu Mungu aliwapa waisraeli au akuwapa ? mbona unakimbia kimbia ww
 
Mkuu hoja yako haieleweki,kwa sababu hao wengine pia nao ni manabii kama ilivyo kwa Muhammad,Yesu na Moses. Sasa wewe et unaona kawaida tu kwa hao manabii wengine kufanya lolote ila kasoro hao watatu tu!! sioni hoja ya msingi labda hao manabii wengine sio wa Mungu.

Hata hivyo mwanzo kabisa umepewa andiko la kuhusu Moses ila wewe unaona sawa kwa nabii kutoa amri kama hii:?:

"Now kill all the boys [innocent kids]. And kill every woman who has slept with a man, but save for yourselves every girl who has never slept with a man. (Numbers 31:17-18) "

Hayo sio mauaji???
analeta utoto kabisa Mungu wa biblia anatoa amri ya kuua chochote kilicho hai katika wayebusi na waamori yeye anajifanya aoni kumb la torati 20: 10 -20 tena anazungumzia pia juu ya kuwafanyisha kazi mateka yeye anamwaga povu kwa mohamadi hii akili au matope
 
Hakuna njia nyingine itakayokufikisha kwenye hiyo "nyumba" pasipo kupitia njia ya YESU KRISTO. Huwezi kamwe kuingia Paradiso bila kupitia kwa YESU KRISTO. Yeyote yule anayesema atakufikisha kwa MUNGU pasipo YESU KRISTO, mtu huyo ni muongo, tena ni muongo hasa.

Mwenye masikio na asikie!
Nimekuelewa kumbe kuna Mungu halafu kuna Yesu sasa mwenye sikio na asikie msije mkawachanganya
 
Ndiyo mkuu, kuna MUNGU na kuna YESU. Kwenye maandiko YESU anasema hivi; "BABA yangu ni MKUU kuliko mimi"...... Hivyo BWANA MUNGU ni mkuu sana kuliko BWANA YESU.

Lakini kuna kitu ambacho ni lazima ukielewe, YESU KRISTO akisimama mbele za Wanadamu anakuwa kama MUNGU, lakini akisimama mbele za BWANA MUNGU anakuwa Mwana! Unahitaji busara kuelewa maana ya maneno haya.
 
Nimesoma sana dini na kujiuliza hivi waafrika tulikosea wapi kuendekeza hizi dini za watu zisizo na manufaa kwetu? Mungu atukataze kuua kisha Mungu huyo huyo atugeuke na kuambia baadhi ya watu waendelee kuua tu wataenda mbinguni, inaingia kichwani hii? Tafuta hivi vitabu usome, haki ya nani vitakufungua macho.
View attachment 812340 View attachment 812341
Moja ya mistari ikimnukuu Mohammad kwenye hiki kitabu ni kama ifuatavyo:

….."‘I (Mohammed) put on her my shirt that she may wear the clothes of heaven, and I SLEPT with her in her coffin (grave) that I may lessen the pressure of the grave. She was the best of Allah’s creatures to me after Abu Talib’…The prophet was referring to Fatima , the mother of Ali.
“The Arabic word used here for slept is “Id’tajat,” and literally means “lay down” with her. It is often used to mean, “Lay down to have sex.”

Mohammed is understood as saying that because he slept with her she has become like a wife to him so she will be considered like a “mother of the believers.” This will supposedly prevent her from being tormented in the grave, since Muslims believe that as people wait for the Judgment Day they will be tormented in the grave. “Reduce the pressure” here means that the torment won’t be as much because she is now a “mother of the believers” after mohammed slept with her and “consummated” the union. “

Source: https://themuslimissue.wordpress.com/2013/01/18/islam-the-crimes-of-prophet-mohamme
Kwanza hapo hujaweka kitabu bali umeweka link inayofahamika kwa kutunga mambo ya uongo, kuuzungumzia hasi uislam.

Umetoa kwa muhtasari kuhusu sira inayoelezea kufa kwa Fatima bint Asad. Kwa faida yako tu, huyu mwanamke unayemzungumzia ni mke wa Abuu Taalib ambaye ni mama wa Ali sahaba wa Mtume. Abuu Taalib ni mmoja kati ya watoto kumi wa babu yake Mtume na ndani ya hao watoto kumi Abdullah( baba mzazi was Mtume) naye alikuwamo. Kwa hiyo Abuu Taalib na baba yake Mtume( abdullah) ni mtu na mdogo wake mtu na kaka yake. Na Fatima binti Asad ndiye aliyemlea Mtume baada ya Mtume kufiwa na wazazi wote wawili akiwa hata miaka 10 hajafikisha. Sasa kwa hiyo fikra unayoileta hapa MTU alale na mama wa kumlea kama mtoto wake kabisa wa kumzaa wewe hii hata huifikirii mzee? Nawe unaikubali kirahisi tu.

Turudi kwenye hayo mapicha uliyoyaweka na hiyo link pamoja na maelezo yako yanayosema Mtume alilala na maiti ya huyo mama na kufanya nayo mapenzi. Kwanza link uliyoinukuu inatoka katika kitabu mtunzi wake ni Zakaria Botros, ni mzaliwa wa Misri ni mkiristo na ni mchungaji. Ulimwengu wa kiislam unamfahamu Huyu mtu kwa kukandia uislam kwa maandiko ya kupotosha. Mfano hiyo hadith uliyoiweka ni ya kutunga. Ahadith sahihi yake kaangalie katika kitabu cha "At-talkhees" imepokewa na Ana's ibn Maalik na kitabu cha "At-tabraani" katika "Awsat", imepokewa na ibn Aabbas.

"Idh' twa'ajaa" ndilo neno ulilolitumia kwenye hiyo ahadith kwa lengo LA kupotosha. Zakaria Botros ambaye unayemfuata wewe anasema kulala kwa kufanya mapenzi. Hii tafsiri si sahihi tizama kwenye kamusi zote za kiarabu huwezi kukuta tafsiri ya hilo neno kama alivyoeleza yeye. Tafsiri halisi ya hill neno ni kujilaza kwa kujinyoosha, kujiegemeza, kupumzika(kulala kwa kupumzika). Na akaweka scholar wa kiarabu anayeitwa Demetrius wa hiyo kamusi aliyoitumia yeye kutafsiri hill neno na Huyo mhariri hafahamiki ni nani.

Kwa hiyo ndugu yangu unatafuta mitandao amabayo ina usema vibaya uislam kutoka na mambo yao binafsi. Na huyo mtunzi wa hicho kitabu alipewa tuzo mwaka 2008 kwa kuukandia uislam.
 
Ndiyo mkuu, kuna MUNGU na kuna YESU. Kwenye maandiko YESU anasema hivi; "BABA yangu ni MKUU kuliko mimi"...... Hivyo BWANA MUNGU ni mkuu sana kuliko BWANA YESU.

Lakini kuna kitu ambacho ni lazima ukielewe, YESU KRISTO akisimama mbele za Wanadamu anakuwa kama MUNGU, lakini akisimama mbele za BWANA MUNGU anakuwa Mwana! Unahitaji busara kuelewa maana ya maneno haya.
asante sana ww sio wale wanafsi tatu za Mungu kuwa zote sawa Umethibitisha kuwa Yesu anakuwa mdogo mbele za Mungu hii aiitaji degree kuielewa
 
Kwanza hapo hujaweka kitabu bali umeweka link inayofahamika kwa kutunga mambo ya uongo, kuuzungumzia hasi uislam.

Umetoa kwa muhtasari kuhusu sira inayoelezea kufa kwa Fatima bint Asad. Kwa faida yako tu, huyu mwanamke unayemzungumzia ni mke wa Abuu Taalib ambaye ni mama wa Ali sahaba wa Mtume. Abuu Taalib ni mmoja kati ya watoto kumi wa babu yake Mtume na ndani ya hao watoto kumi Abdullah( baba mzazi was Mtume) naye alikuwamo. Kwa hiyo Abuu Taalib na baba yake Mtume( abdullah) ni mtu na mdogo wake mtu na kaka yake. Na Fatima binti Asad ndiye aliyemlea Mtume baada ya Mtume kufiwa na wazazi wote wawili akiwa hata miaka 10 hajafikisha. Sasa kwa hiyo fikra unayoileta hapa MTU alale na mama wa kumlea kama mtoto wake kabisa wa kumzaa wewe hii hata huifikirii mzee? Nawe unaikubali kirahisi tu.

Turudi kwenye hayo mapicha uliyoyaweka na hiyo link pamoja na maelezo yako yanayosema Mtume alilala na maiti ya huyo mama na kufanya nayo mapenzi. Kwanza link uliyoinukuu inatoka katika kitabu mtunzi wake ni Zakaria Botros, ni mzaliwa wa Misri ni mkiristo na ni mchungaji. Ulimwengu wa kiislam unamfahamu Huyu mtu kwa kukandia uislam kwa maandiko ya kupotosha. Mfano hiyo hadith uliyoiweka ni ya kutunga. Ahadith sahihi yake kaangalie katika kitabu cha "At-talkhees" imepokewa na Ana's ibn Maalik na kitabu cha "At-tabraani" katika "Awsat", imepokewa na ibn Aabbas.

"Idh' twa'ajaa" ndilo neno ulilolitumia kwenye hiyo ahadith kwa lengo LA kupotosha. Zakaria Botros ambaye unayemfuata wewe anasema kulala kwa kufanya mapenzi. Hii tafsiri si sahihi tizama kwenye kamusi zote za kiarabu huwezi kukuta tafsiri ya hilo neno kama alivyoeleza yeye. Tafsiri halisi ya hill neno ni kujilaza kwa kujinyoosha, kujiegemeza, kupumzika(kulala kwa kupumzika). Na akaweka scholar wa kiarabu anayeitwa Demetrius wa hiyo kamusi aliyoitumia yeye kutafsiri hill neno na Huyo mhariri hafahamiki ni nani.

Kwa hiyo ndugu yangu unatafuta mitandao amabayo ina usema vibaya uislam kutoka na mambo yao binafsi. Na huyo mtunzi wa hicho kitabu alipewa tuzo mwaka 2008 kwa kuukandia uislam.
Hoja ya mauaji imekufa ameamia kwenye link za uzushi labda anafikir humu ni jukwaa la watoto eti kuoa mtumwa ni kubaka labda alitaka mtume awaue kama musa alivyotaka kuwaua wanawake walio shiriki tendo la ndoa na kuwaacha wale vimwali
 
Maandishi yake yanasadifu yeye ni wa namna gani. Wenye ufahamu wenye afya njema washamjua. Unapotatizwa na jambo husika waulize wahusika, ndivyo waungwana wanavyofanya lakini yeye anatuhumu tena kwa maneno ghali sana. Ajabu akiambiwa alete ushahidi yeye analeta uchura uchura anaruka ruka tu.
 
Mbaya zaidi huyo huyo anayelala na mtoto wa miaka 9 anasema eti ametumwa na MUNGU kuleta DINI duniani. Mimi siku zote huwa nasema hivi, kuna tofauti kubwa sana ya Allah na BWANA MUNGU...... Allah ni mungu kama vile ISIS, MITHRA, TAMUZ, ISHTAR n.k. Lakini BWANA MUNGU ndiye MUNGU MUUMBA wa mbingu, dunia na viumbe vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana.

Mwenye masikio na asikie!

Thank you so much kuwafungua macho watu na akili pia. Hopefully this will make people think twice na kujitafakari.
 
Mkuu hoja yako haieleweki,kwa sababu hao wengine pia nao ni manabii kama ilivyo kwa Muhammad,Yesu na Moses. Sasa wewe et unaona kawaida tu kwa hao manabii wengine kufanya lolote ila kasoro hao watatu tu!! sioni hoja ya msingi labda hao manabii wengine sio wa Mungu.

Hata hivyo mwanzo kabisa umepewa andiko la kuhusu Moses ila wewe unaona sawa kwa nabii kutoa amri kama hii:?:

"Now kill all the boys [innocent kids]. And kill every woman who has slept with a man, but save for yourselves every girl who has never slept with a man. (Numbers 31:17-18) "

Hayo sio mauaji???

Nazungumzia hawa manabii watatu kwa sababu wayahudi wanamfuata Moses, wakristu wanamfuata Yesu, waislam wanamfuata Mohammad.....bado hujaelewa tu? Nikuulize tena kwa mara ya mwisho.....nani kati ya hawa manabii watatu aliyekuwa anaua watu na kubaka wake za watu na nani kati ya hawa manabii watatu aliyefanya mapenzi na Aunt yake marehemu akiwa kaburini? Narudia, nilisema hizi dini zote ni za kivita na ni kweli waliua sana watu ila nili base zaidi kwa manabii wa hizi dini. Mohammad was NOT a prophet at all, si kweli Mungu anaweza kumwambia Mohammad abake katoto ka miaka 9 au kuua wanaume ili abake wake zao...this is NOT true at all. Mohammad hakuwa nabii hata kidogo, msijidanganye jamani.
 
Umepanic sasa tulia hivyo hivyo nakuuliza amri ya kuua watu Mungu aliwapa waisraeli au akuwapa ? mbona unakimbia kimbia ww

Kama nilivyosema hapo awali...hizi dini zote ni tata na hazitufai...iweje Mungu atukataze kuua kisha awaambie waisrael na Mohammad waue tu? Kumbukeni, always history is written for the victor kwa manufaa yao.
 
Kwanza hapo hujaweka kitabu bali umeweka link inayofahamika kwa kutunga mambo ya uongo, kuuzungumzia hasi uislam.

Umetoa kwa muhtasari kuhusu sira inayoelezea kufa kwa Fatima bint Asad. Kwa faida yako tu, huyu mwanamke unayemzungumzia ni mke wa Abuu Taalib ambaye ni mama wa Ali sahaba wa Mtume. Abuu Taalib ni mmoja kati ya watoto kumi wa babu yake Mtume na ndani ya hao watoto kumi Abdullah( baba mzazi was Mtume) naye alikuwamo. Kwa hiyo Abuu Taalib na baba yake Mtume( abdullah) ni mtu na mdogo wake mtu na kaka yake. Na Fatima binti Asad ndiye aliyemlea Mtume baada ya Mtume kufiwa na wazazi wote wawili akiwa hata miaka 10 hajafikisha. Sasa kwa hiyo fikra unayoileta hapa MTU alale na mama wa kumlea kama mtoto wake kabisa wa kumzaa wewe hii hata huifikirii mzee? Nawe unaikubali kirahisi tu.

Turudi kwenye hayo mapicha uliyoyaweka na hiyo link pamoja na maelezo yako yanayosema Mtume alilala na maiti ya huyo mama na kufanya nayo mapenzi. Kwanza link uliyoinukuu inatoka katika kitabu mtunzi wake ni Zakaria Botros, ni mzaliwa wa Misri ni mkiristo na ni mchungaji. Ulimwengu wa kiislam unamfahamu Huyu mtu kwa kukandia uislam kwa maandiko ya kupotosha. Mfano hiyo hadith uliyoiweka ni ya kutunga. Ahadith sahihi yake kaangalie katika kitabu cha "At-talkhees" imepokewa na Ana's ibn Maalik na kitabu cha "At-tabraani" katika "Awsat", imepokewa na ibn Aabbas.

"Idh' twa'ajaa" ndilo neno ulilolitumia kwenye hiyo ahadith kwa lengo LA kupotosha. Zakaria Botros ambaye unayemfuata wewe anasema kulala kwa kufanya mapenzi. Hii tafsiri si sahihi tizama kwenye kamusi zote za kiarabu huwezi kukuta tafsiri ya hilo neno kama alivyoeleza yeye. Tafsiri halisi ya hill neno ni kujilaza kwa kujinyoosha, kujiegemeza, kupumzika(kulala kwa kupumzika). Na akaweka scholar wa kiarabu anayeitwa Demetrius wa hiyo kamusi aliyoitumia yeye kutafsiri hill neno na Huyo mhariri hafahamiki ni nani.

Kwa hiyo ndugu yangu unatafuta mitandao amabayo ina usema vibaya uislam kutoka na mambo yao binafsi. Na huyo mtunzi wa hicho kitabu alipewa tuzo mwaka 2008 kwa kuukandia uislam.

Tatizo la waislam ni hili, mtu akiongea ukweli basi ni adui wa waislam.....hivi umewahi kujiuliza kwanini Mungu amruhusu Mohammad abake katoto ka miaka 9 tu? Hivi hata wewe mwenyewe unashindwa kufikiria, soma wasifu wa Mohammad na vimbwanga vyake, jamaa ni mbakaji, mzinzi, muuaji, na ni muongo pia. Kila akibaka anasingizia Mungu alimuotesha kufanya hivyo.
 
Kama nilivyosema hapo awali...hizi dini zote ni tata na hazitufai...iweje Mungu atukataze kuua kisha awaambie waisrael na Mohammad waue tu? Kumbukeni, always history is written for the victor kwa manufaa yao.
Tatizo lako ww sio mchambuzi ila umekomaa na mohamadi suala la kuua wote wameua tena musa aliua mpaka wanawake na watoto vip nakuuliza swali je musa ni nabii au sio nabii tuanzie hapo
 
Binafsi siamini hizi dini za watu.....ni propaganda tu. Waafrika tumedanganywa sana miaka zaidi ya 400 na tumekuwa wakereketwa tena zaidi ya waliotuletea ila unashangaa hatuna nabii hata mmoja toka Afrika. Mohammad alikuwa anabaka wake za watu na kuuwa watu at will ila kawa nabii. Kubaka na kuuwa ni dhambi kwanini Mohammad awe nabii for doing what he did? Waafrika tumedanganywa sana, turudi kwa mizimu yetu.

Kaka kuna uongo mmoja uliusema katika mada fulani ukimzulia mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake,nikasema ni kupuuzie sababu hujui unalo liandika,ila nimepita tena hapa naona unakariri ule uongo. Sasa naomba unijibu maswali haya :

1. Ni wapi mtume Muhammad alikuwa ana wabaka wake za watu ? Haoa naomba unipe na ushahidi.

2. Nipe ushahidi ni wapi mtume alimuoa mama Aisha Allah amridhie akiwa na umri wa miaka 6. Hapa kadhalika naomba unipe ushahidi.

Kwa munasaba wa maneno yako ya wewe kupinga dini hizi,

3. Umejuaje kama kuua na kubaka ni dhambi ?
 
Tatizo la waislam ni hili, mtu akiongea ukweli basi ni adui wa waislam.....hivi umewahi kujiuliza kwanini Mungu amruhusu Mohammad abake katoto ka miaka 9 tu? Hivi hata wewe mwenyewe unashindwa kufikiria, soma wasifu wa Mohammad na vimbwanga vyake, jamaa ni mbakaji, mzinzi, muuaji, na ni muongo pia. Kila akibaka anasingizia Mungu alimuotesha kufanya hivyo.
Jana mlileta hadithi nyingi sana mwisho wa siku maandiko yako wazi mohamadi alioa watumwa hakubaka hoja ya kubakwa aina mashiko Kwasababu wote wale walioshindwa vita kumbe walishaolewa na mohamadi kawastiri wajane ww roho inakuuma
 
Kaka kuna uongo mmoja uliusema katika mada fulani ukimzulia mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake,nikasema ni kupuuzie sababu hujui unalo liandika,ila nimepita tena hapa naona unakariri ule uongo. Sasa naomba unijibu maswali haya :

1. Ni wapi mtume Muhammad alikuwa ana wabaka wake za watu ? Haoa naomba unipe na ushahidi.

2. Nipe ushahidi ni wapi mtume alimuoa mama Aisha Allah amridhie akiwa na umri wa miaka 6. Hapa kadhalika naomba unipe ushahidi.

Kwa munasaba wa maneno yako ya wewe kupinga dini hizi,

3. Umejuaje kama kuua na kubaka ni dhambi ?
Mm namsubir aje ajibu swali langu kwa kitendo cha cha musa kuua watoto wadogo na wanawake je musa ni nabii au sio nabii very simple
 
Nazungumzia hawa manabii watatu kwa sababu wayahudi wanamfuata Moses, wakristu wanamfuata Yesu, waislam wanamfuata Mohammad.....bado hujaelewa tu? Nikuulize tena kwa mara ya mwisho.....nani kati ya hawa manabii watatu aliyekuwa anaua watu na kubaka wake za watu na nani kati ya hawa manabii watatu aliyefanya mapenzi na Aunt yake marehemu akiwa kaburini? Narudia, nilisema hizi dini zote ni za kivita na ni kweli waliua sana watu ila nili base zaidi kwa manabii wa hizi dini. Mohammad was NOT a prophet at all, si kweli Mungu anaweza kumwambia Mohammad abake katoto ka miaka 9 au kuua wanaume ili abake wake zao...this is NOT true at all. Mohammad hakuwa nabii hata kidogo, msijidanganye jamani.
Duh! bado unajiuma uma tu,we unahoji kuwa Mungu hawezi kumuagiza mtume wake auwe au kubaka.
Nimekupa andiko lenye kuonesha mmoja wa nabii wa Mungu akizini na mke wa na kumuua mumewe,ningetegemea kushangaa ni vp mtume wa Mungu kufanya hayo!

Lakini kama haitoshi umepewa andiko Moses akitoa amri ya kuuliwa watoto,na nikakuuliza hayo sio mauaji ila haukujibu.

Kila zama zilikuwa na mtume wao ambaye ametumwa na Mungu,hivyo hata sioni point yako ya hao mitume mengine wao kuuwa iwe sawa ila isiwe sawa kwa Yesu, Muhammad na Moses tu.

Wewe bora uwe wazi tu na sio kujificha ficha.
 
Kaka kuna uongo mmoja uliusema katika mada fulani ukimzulia mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake,nikasema ni kupuuzie sababu hujui unalo liandika,ila nimepita tena hapa naona unakariri ule uongo. Sasa naomba unijibu maswali haya :

1. Ni wapi mtume Muhammad alikuwa ana wabaka wake za watu ? Haoa naomba unipe na ushahidi.

2. Nipe ushahidi ni wapi mtume alimuoa mama Aisha Allah amridhie akiwa na umri wa miaka 6. Hapa kadhalika naomba unipe ushahidi.

Kwa munasaba wa maneno yako ya wewe kupinga dini hizi,

3. Umejuaje kama kuua na kubaka ni dhambi ?

Mkuu naona una matatizo ya akili, rudia post zangu huko nyuma yote nimeeleza na ushahidi nimetoa, kwa kuwa unanipima uelewa wangu ngoja nikupe ushahidi mwingine. Nikujibu kama ulivyoniuliza.

1. Mtume alikuwa anavamia maeneo ya watu na kuua wanaume wote kisha anabaka wake zao yeye na jeshi lake, hii siyo siri hata kwenye Qu'ran imeandikwa….soma Qu'ran na vitabu vya Hadith utapata ukweli. Msikariri tu vitu bila kujuwa undani wake. Ifuatayo ni moja tu ya vituko vya uvamizi wa Mohammad:

Bukhari

  1. Narrated Ibn Aun: I wrote a letter to Nafi and Nafi wrote in reply to my letter that the Prophet had suddenly attacked Bani mustaliq without warning while they were heedless and their cattle were being watered at the places of water. Their fighting men were killed and their women and children were taken as captives; the Prophet got Juwairiya on that day. Nafi said that Ibn ‘Umar had told him the above narration and that Ibn ‘Umar was in that army. Ushahidi wake huko hapa (Book #46, Hadith [HASHTAG]#717[/HASHTAG])
2. Mohammad alimuoa mtoto Aisha, si Mama (kama unavyomuita) kwani alikuwa ni mtoto wa miaka 6 ila alianza kumbaka akiwa na miaka 9. Wewe hapo ulipo ukibaka mtoto wa miaka 9 nini kinajiri ukikamatwa? Ufuatao ni uthibitisho wa Muhammad kufanya mapenzi na mtoto Aisha. Fuatilia haya maandiko kwenye hivyo vitabu:

Muhammad’s marriage to 6yr old Aisha-(Sahih Al-Bukhari, Volume 5, Book 58, Number 234 and 236).

— Aisha cleans Muhammad’s semen stains (shahawa za Mohammad) - (Sahih Al-Bukhari, Volume 1, Book 4, Number 229-233),

— Muhammad fondling Aisha during her ‘Menses’- (Sahih al-Bukhari, Volume 1, Book 6, Number 298-300, Sunan Abu Dawud, Book 1, Number 0270)

— Muhammad liked to have intercourse with Aisha and his other wives when they were menstruating (Sahih Muslim, Book 003, Number 0577-0579),

3. Wewe hapo ulipo unaruhusiwa kubaka ama kuua? Hivi vitu vingine si LAZIMA uende shule mpaka ujuwe, tumia akili yako kwa kufikiri kijana. Au jiulize, mtu aje kubaka mtoto wako wa miaka 9 wewe utafanyaje, utamchekelea tu na kumpigia makofi?
 
Duh! bado unajiuma uma tu,we unahoji kuwa Mungu hawezi kumuagiza mtume wake auwe au kubaka.
Nimekupa andiko lenye kuonesha mmoja wa nabii wa Mungu akizini na mke wa na kumuua mumewe,ningetegemea kushangaa ni vp mtume wa Mungu kufanya hayo!

Lakini kama haitoshi umepewa andiko Moses akitoa amri ya kuuliwa watoto,na nikakuuliza hayo sio mauaji ila haukujibu.

Kila zama zilikuwa na mtume wao ambaye ametumwa na Mungu,hivyo hata sioni point yako ya hao mitume mengine wao kuuwa iwe sawa ila isiwe sawa kwa Yesu, Muhammad na Moses tu.

Wewe bora uwe wazi tu na sio kujificha ficha.

Al Shabab kama kawaida yenu, huwa akili zenu zimefungwa na hampendi kuelewa....nimekujibu lakini bado tu hutaki kuelewa. Usiku mwema, ipo siku akili zitakujia na utaelewa before it's too late.
 
Back
Top Bottom