mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Unapouhukumu uislam, uhukumu kwa misingi yake na sheria zake. Katika uislam tunafundishwa al' elm qablal qaul wal amal kwa maana uwe na elimu kabla ya kuongea kuhusu kitu/jambo husika na kabla ya kutenda jambo husika basi uwe na elimu na hilo jambo. Hiyo ni kama dibaji tu nakupa ili ujue yaliyomo.
Umeleta jambo kuhusu uislam, na misingi na sheria ya uislam inafahamika inapopatikana. Hebu tuletee ushahidi kwa hayo uliyoyaandika.
Hammaz Kumbuka, sheria za Qu'ran ni sheria za karne ya 6 ambazo zimepitwa na wakati....sasa tuko kwenye karne ya 21 kama ulikuwa hujuwi. Huwezi ku base sheria zilizopitwa na wakati kwa maisha ya sasa.