Yajayo yanafurahisha. Je, uko tayari?

Tumia hoja za kiakili,

Na uanze kwa kuelezea unawezaje bain kuwa sku za mtu flan zimeisha/zimekaribia kuisha??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hili swali unatakiwa ulijibu wewe ambae unahisi ya kuwa suala la kusogeza mbele miaka ya mtu kuishi inawezekana au litakuja kuwezekana,huku mkijifariji ya kuwa ni suala tu la muda.
 
Mkuu ngoja niku kosoe hapo kwe ulefu wa mcha ni sawa na usiku sio kila mahali dunia kupo hiyo mfano uingeleza kuna mda usiku unakuwa mlefu kuliko mchana poa kwa muda mwingine mchana unakuwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio yeye akatuwekea mipaka katika kufikiri ili tuepukane na makosa na kubahatisha.
 
Mkuu ngoja niku kosoe hapo kwe ulefu wa mcha ni sawa na usiku sio kila mahali dunia kupo hiyo mfano uingeleza kuna mda usiku unakuwa mlefu kuliko mchana poa kwa muda mwingine mchana unakuwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza umekosea kunikosoa,mimi sijalinganisha urefu wa mchana kwa urefu wa usiku,bali nimesema urefu wa mchana kutobadilika na urefu wa usiku kutokubadilika.

Sasa hapa unatakiwa unikosoe kwenye maneno hayo.
 
Mkuu ulimanisha usiku na mcha ni sawa dunia kote sio?
Kwanza umekosea kunikosoa,mimi sijalinganisha urefu wa mchana kwa urefu wa usiku,bali nimesema urefu wa mchana kutobadilika na urefu wa usiku kutokubadilika.

Sasa hapa unatakiwa unikosoe kwenye maneno hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa unaweza kuongezea nyama zaidi...kuna la kujifunza hapa asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie hayo maeneo kaka ambayo ni giza miaka yote na ni nuru miaka yote.

Na kama nu giza na ni nuru tupu,hii kauli yako ya miaka yote umeipata wapi ?
Mkuu hapa unaweza kuongezea nyama zaidi...kuna la kujifunza hapa asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyota unazoziona angani hazipo karibukaribu kama unavyoziona, nafasi kati ya nyota na nyota ni mabilioni au matrilion ya kilomita ndipo uweze kuifikia nyota nyingine.

Pia nafasi kati ya galaxy na galaxy umbali mkubwa kuliko wa nyota na nyota
Kama unavyoona kwenye hii picha, pembeni ya hizi galaxy ni giza totoro kuliko lile giza ulijualo la usiku

Sasa maeneo hayo makubwa yenye giza, mengi yamedumu mamilioni ya miaka bila kuona nuru.

Kadhalika kuna maeneo kuna nuru muda wote ndani ya kila galaxy

Picha hii iliyopigwa kwa kutumia camera zenye uwezo wa hali ya juu inaonyesha namna tunavyoziona nyota angani wakati wa usiku

Sasa tunaona galaxy yetu yote inag'aa na sisi tupo ndani yake ila tunashangaa ukitoka nje ya anga la dunia upande wa pili kuna giza totoro, au nyakati za usiku tunaona giza ilihali galaxy yetu inaonekana kung'aa kama hivi

Kwa haraka haraka fikiria katikati ya galaxy na galaxy kuna giza la aina gani miaka yote hiyo?
 
Nyota unazoziona angani hazipo karibukaribu kama unavyoziona, nafasi kati ya nyota na nyota ni mabilioni au matrilion ya kilomita ndipo uweze kuifikia nyota nyingine.

Kaka hivi unajisikiaje kuandika maneno kama haya ? Hivi kweli elimu inataka kubahatisha ?

Kwanini useme mabilioni au matrilioni hii inaonekana huna uhakika na unacho kisema ?

Swali wana sayansi hutumia nini kukadiria umbali huo ? Maana umisema kupima na kupata uhakika hili haliyumkiniki.
 
Pia nafasi kati ya galaxy na galaxy umbali mkubwa kuliko wa nyota na nyota
Kama unavyoona kwenye hii picha, pembeni ya hizi galaxy ni giza totoro kuliko lile giza ulijualo la usiku

Hapa huna hoja,swali la msingi ni wakati gani walipiga hizo picha ? (Japokuwa huwa siamini kuhusu elimu ya anga yaani sayari na nyota). Hapa napima uwezo wako wa kufikiri kuona ukoje.

Tuendelee.
 
Kukwambia hivyo ni katika kukuelewesha tu mkuu maana wewe ni binadamu mwenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kwa makadirio na kwa vipimo halisi

Nyota iliyo karibu yetu ijulikanayo kama "alpha centauri au rijili kantori, rijili kantarusi"ambayo ipo ndani ya galaxy yetu ya milky-way, mwanga kutoka kwenye hiyo nyota huchukua muda wa miaka 4.37 ukisafiri tu hadi kufika duniani

Kwa wastani mwanga husafiri karibu kilomita laki tatu kwa sekunde

Sasa piga mahesabu mwenyewe kama mwanga unachukua muda wa miaka minne kutoka kwenye hiyo nyota mpaka kufika kwetu ni trillions ngapi za kilometres kati ya jua letu na hiyo nyota

Sitaki kubishana ila nataka upate mwanga tu ni namna gani haya mambo yapo
 
Hapa huna hoja,swali la msingi ni wakati gani walipiga hizo picha ? (Japokuwa huwa siamini kuhusu elimu ya anga yaani sayari na nyota). Hapa napima uwezo wako wa kufikiri kuona ukoje.

Tuendelee.
Ngoja nikuache tu maana unanipotezea muda
 
L
AZIMA UWE TAYARI TU MKUU; WATA ANDAA VIJARIDA, NA MOBILE APPLICATION LUNDO UTAELEWA KILA KITU
 
Duhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitume yake hata kuunda kijiko tu " walikuwa hawajui !!!

Mimi nilitegemea kwamba kwakuwa mitume ndio ilikuwa inapokea ujumbe toka kwa mungu moja kwa moja (kwa mujibu wao") basi hiyo mitume ndio ingekuwa inaongoza kwakufanya gunduzi mbali mbali " hapa duniani " na kuweza kuirahisishia jamii katika utatuzi wa changamoto zao "

Lakini sasa kama hawakuweza kugundua hata kengele .spekears .mick " hata mchanganyiko wa kupata cement " basi sioni haja au sababu ya mimi kuwaamini kwa sababu " naona wazi kuwa utume wao haukuwa na maana "haukuwa na maana ndio kwa sababu hizo rasilimali zote wanazo zitumia kuendeshea ibada " wamesubiri tafiti na gunduzi za watu ambao sio manabii ili waweze kuzigundua nawao wapate kuvitumia ..

Halafu mbaya zaidi bila haya wala aibu utakuta wanawasema vibaya wagunduzi hao " ...

Kwa muktadha huu manabii walipaswa kuwa hao waliogundua vitu mbali mbali " na sio hawa tunao aminishwa katika masuala ya dini /imani kwa sababu wao hakuna chamaana walicho kifanya zaidi ya kuwarithisha watu imani ambazo zimechangia kuleta ubaguzi na machafuko duniani

Mkuu. haiwezekani upate nafasi ya kuongea na mungu halafu ushindwe hata kumuomba akuelekeze namna ya kutengeneza kijiko .. taa .mwamvuli " gari" ndege " simu " etc halafu utake watu wakuamini .... watakao kuamini watakuwa ni majuha ...na sio vinginevyo ..

Haha mambo mengine yana chekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…