Yajayo yanafurahisha, Jifunze hii taaluma itakusaidia

Yajayo yanafurahisha, Jifunze hii taaluma itakusaidia

Una mbinu sana chief naona umeninadi kwanza ili nishushe nondo zaidi kirahisi usijali ingawaje kuna watu wana matusi humu yaani hapa hapa washanitukania wazazi wangu kimoyomoyo vibaya..aaaaahaha!

It's midnight kesho tutaifanya hiyo Kazi mkuu..usijali.. Knowledge is power. Tushirikishane. Make sure unajisajili hapa Current Media kwa current usije kunililia those days ahead.

But napenda sana watoto wa kiume majasiri walio tayari kujaribu mambo mengi kuna huyu hapa yeye hajaweka hata maandishi hapa yeye kaja inbox na kufunguka haya.

Mzawa popote uliko "you are the man" achana na watoto wa mama coward who can't try anything.. Alishasema hata bill gate if you can't risk anything you won't get anything. Akina Columbus walikuwa wanarisk kwa kusafiri na majahazi miezi kibao hadi wakaivumbua US..mtembea bure sio sawa na mkaa bure. Tembea na hujaribu mengi zaidi ndo kupanua ubongo huko...unajifunza kwa theory na practical binadamu.
f43438ce2e94de2d522afec4a337f1bf.jpg
Hahaha sawa endelea naye huyo kwanza, mi nitakusubiri uamke tuendelee na mashule mkuu
 
Hii kitu naona ni sawa na mambo ya kufikia ikawa tu, hakuna tofauti na issue ya babu wa loliondo. Watanzania tufanye kazi na kuacha kudanganyika na haya mambo!
Hivi unaelewa lolote juu ya Cryptocurrency!? Tuanzie hapo maana ninaweza kuanzisha mjadala na crack head.
 
Katika maisha upepo ukivuma usikinzane nao uelewe nature yake na uenende nao sambamba ili usikupige mweleka...muhimu ni kushabihiana nao. Cryptocurrency tunataka au hatutaki ndio nature ya digital payment kwa sababu mbili kuu ni pesa inayoweza kutumika kwa transaction halafu ni investment at the same time.

Kwa wale wenzangu waliosoma finance wanaelewa money yeyote its a paper ambayo wanajamii wamekubaliana iwe ndio kielelezo cha thamani kwa hiyo pesa haina thamani yeyote Bali ni sisi tu tumekubaliana kwamba iwe na thamani.. The same na Bitcoin ni watu wamekubaliana iwe na thamani kutokana na nature yake ya kuwa na scarcity, durability, portability e.t.c anyways tuyaache haya.

Binafsi nimeijua hii Cryptocurrency mwaka 2017 ila nilikuwa mbishi na siamini na niiliipinga kwa nguvu zote ila nikajipa space ya kufuatilia na ilipofika Nov ndio nikaifahamu sarafu inayoitwa Ripple ikiwa na price ya $0.2 nikadharau na nilikuwa na jamaa yangu akinisisitiza ninunue hara sarafu za laki tano maana zilikuwa cheap and affordable nikadharau ghafla bei ikaspike kutoka $0.2 hadi $3.5 na jamaa alinunua coin takribani 40000 kwa tshs nadhani haikuzidi $260 maana ndio ilikuwa initial investment yake wakati huo..asee!! Ina maana ni 3×4000= $12000 na kwa madafu ni tshs 26,400,000/= roho iliniuma sana kwanini niliignore na yeye kwa wakati huo anajilaumi kwanini hakuweka mzigo wa maana angeyakatia denge maisha mapeeem
6200302ae18654209c7d3875fd601d39.jpg
30f6ebf9369823718707159790642171.jpg
bei ya awali hii then ghafla ikaspike hadi hii hapa price
d600956c840bb9ba3e1e058861c77ba0.jpg
to dare is to do..hujachelewa tenga muda wako jifunze zaidi juu ya hii hopefully it won't surely let you down.. Sio upatu huu its investing early for the benefit of the future.

Hapo ndipo nilipoanza seriously kufuatilia hii ishu na sasa nimegundua its good to invest on ICO au aidrop ambapo hii airdrop kitaalamu ni kampeni ya kugawa coin bure kama strategy ya marketing hii unaweza kuwekeza kwa only sign up tu then unapewa free coins kadhaa maana wao wenye coin wanaitumia kama marketing strategy ya coin yao kupata users and build network of their investors wengi hence inakuwa positive investment for the future..kwa sasa Kuna coin moja iko kwenye Aidrop inakuja kuipa maximum challenge YouTube na all other related site ambazo ni za video streaming yaani hawa jamaa unalipwa pesa kwa kuplay any multimedia via hiyo block chain technology yao...its gonna be huge with an amazing potential inaitwa CURRENT ifuatilie mapema kabla hujachelewa
f64332a6d0ed03ce50f742506d8f7d34.jpg
huko telegram naona wana member kama 100,000 hawa wanasubiri official launch ya ICO ili wanunue mapeema na hii ni kwa miezi miwili imagine mwaka itakuwaje? check hapa telegram yao bado Twitter e.t.c
ddebe458f45e583b02a289a995205222.jpg
yaani nakupa fact tupu na evidence juu.. na wote wanasuburi mzigo uanzee kuuzwa wanunue imagine kama hawa wazungu kila mmoja akinunua kwa minimum dola $500 pekee zidisha na idadi ya watu 100,000..500×100,000= $50,000,000/= kwa madafu 50,000,000×2300= Tshs 115,000,000,000/= its very simple mathematic ya mwezi mmoja tu wa hilo boom wanazalishwa mamilionea kibao for the next coming years hii ishu ya Crypto imewanufaisha zaidi Wakorea, Wamarekani, Wachina na Wahindi maana wao wameiamini na kuimaster mapema lakini sisi hakina Shambuku tutazidi kutafuta mchawi hadi mwisho wa dunia kila kitu hujuaji tu wakati hakuna tunachojua smartphone ni kwa ajili ya Mange kimambi na jamii forum pekee.. Imbecilic! Ingia hapa Current Media ukikisajili tu via this link unapewa free current coin 5 za papo kwa papo then unasubiri Initial coin offering maana hii ni airdrop tu..airdrop which simply means you make money from air...yaani unaenda kiwandani kununua sabuni..sio sawa na Yule atakaenunua kwa wakala..wa kiwandani atapitia na masaza ya kutosha mixer bakshishi.

Usije sema hukupata taarifa..yajayo yanasisimua na kufurahisha. Just learn more to earn more now.
Mkuu nmefuata kila ulchoelekeza kwenye airdrop ila nadhan nahtaji maelekezo mengine ya msing zaidi. Nshaingia mpka kwenye group zao za telegram, nakwama sasa jinsi ya kuendelea baada ya kukamilsha hlo au ndio nacheza na link waliyonipatia tu huo kwa ajil ya kupata coins?
 
Mkuu nmefuata kila ulchoelekeza kwenye airdrop ila nadhan nahtaji maelekezo mengine ya msing zaidi. Nshaingia mpka kwenye group zao za telegram, nakwama sasa jinsi ya kuendelea baada ya kukamilsha hlo au ndio nacheza na link waliyonipatia tu huo kwa ajil ya kupata coins?
Muhimu ni wewe kutumia hiyo link vizuri ili upate coins but deadline iko arroud the corner.
 
Mkuu nmefuata kila ulchoelekeza kwenye airdrop ila nadhan nahtaji maelekezo mengine ya msing zaidi. Nshaingia mpka kwenye group zao za telegram, nakwama sasa jinsi ya kuendelea baada ya kukamilsha hlo au ndio nacheza na link waliyonipatia tu huo kwa ajil ya kupata coins?
Hahaha hata hajamaliza kutoa shule umeanza kufanya mtihani?! Uki fail usilalame, shule haijaisha utaibiwa acha haraka,ona sasa ushaanza kutoa macho.
 
Ngoja niendelee kubet nipate hela ya kulisha familia tu maana hapa sielewi kitu
Unaweza kudhani umeelewa, siku ukiingiza pesa utakuwa kama Dr.Shika, utakuwa Tajiri mtandaoni but in real life utakuwa kama matonya.
 
Sikumbuki kama kuna dili la pesa nzuri mtu anapiga pesa hasa Mtanzania akawashirikisha wenzie haraka kiasi hicho tena mitandaoni. Hizi biashara za kizungu hebu tufanye kuwaachia wenyewe.
 
Hahaha hizi pesa za mitandaoni ni kuwa nazo makini
Hahaha tena uwe makini sana usije ukazipoteza, maana utaumia moyo.
Mi naogopa kujilisha upepo, una pesa mtandaoni huwezi kula kwa mamantilie?! Huwezi lipia nauli ya mwendokasi?! Huwezi lipia ada ya shule, sasa nini faida ya kuwa na cryptocurrency?! Bitcoin nitaitoaje kwenye ATM hapa azikiwe crdb?!
 
Hahaha tena uwe makini sana usije ukazipoteza, maana utaumia moyo.
Mi naogopa kujilisha upepo, una pesa mtandaoni huwezi kula kwa mamantilie?! Huwezi lipia nauli ya mwendokasi?! Huwezi lipia ada ya shule, sasa nini faida ya kuwa na cryptocurrency?! Bitcoin niyaitoaje kwenye ATM hapa azikiwe crdb?!
hiyo tumuulize mtoa mada
 
Samahani Kidogo ndugu Humble African,Hivi wewe na Ontario wa Forex mna Undugu wa Damu?
Maana nimejiridhisha kupitia chagizo zenu mbalimbali yani the way mnavyo jibu hoja na nondo mnazoshusha ni kama kuna mfanano hivi,sorry kwa kukutoa nje ya Mada.
 
Samahani Kidogo ndugu Humble African,Hivi wewe na Ontario wa Forex mna Undugu wa Damu?
Maana nimejiridhisha kupitia chagizo zenu mbalimbali yani the way mnavyo jibu hoja na nondo mnazoshusha ni kama kuna mfanano hivi,sorry kwa kukutoa nje ya Mada.
Wow! My heart has melted kuona maandishi yako mkuu. Very true and inspiring.

Ni kweli kabisa nilikuwa nae group moja la Forex na watu walikuwa wakinifananisha nae kwa uhandishi wangu, naheshimu sana maandishi ya ONTARIO maana anajua kutumia maneno sahihi kulingana na muktadha husika.

Ila kama na wewe umeliona hili basi una jicho la maandishi.

Hugs.
 
Kama ni fursa na ni kitu kizuri...kwanini unatushirikisha?...ha ha ha...hupati mtu hapa
 
Unajua hii Cryptocurrency inapingwa sana duniani kwa sababu moja kuu...iko decentralized hivyo inaondoa nguvu na power ya central bank kama Federal reserve na bank kubwa za ulimwengu kuuregulate uchumi wa dunia maana uchumi una wekwa mikononi mwa watu...na ndio kauli mbiu ya Bitcoin inasema "Be your own bank" maana watu wanaweza kutumiana fedha kwa peer to peer transaction pasipo kupitia bank ambao wanatunyonya kwa zile ten percent. Thanks to Bitcoin na that's why hata muasisi wa hii technology Satoshi Nakamoto aliamua kuwa anonymous soon baada ya kulaunch Bitcoin alijua USA watamla nyama maana amewanyanganya makucha yao kiuchumi.

Then unajua kuna sababu moja kuu mbaya sana ambayo itaifanya hii Cryptocurrency isife wala kupotezwa ni technology yake ya block chain inayosabisha ukitaka kushut down Bitcoin lazima uzime internet ya dunia nzima...something which is impossible maana hata nyuklia zao hazitafanya Kazi na Google itakuwa Gogo..aaaaahaha.

This technology is here to stay apart from challenge...una budi kujifunza inavyofanya kazi na kujua mechanism zake then take risk..mwaka huu kuna hundred of millionaire wa hizi Cryptocurrency lakini kwa vile waswahili tushajeruhiwa na sijui NNet basi kila kitu mmbongo anadoubt...guys relax and just learn more.
Tatizo la hizi cryptocurrency ni hawa ma investor wadogo na wasio na elimu ya kutosha juu ya nini wamewekeza.
Ikiyumba kidogo wanaondoa mitaji yao na pesa ndipo inazidi kuanguka kama ilivyotokea kwa bitcoin yani wao ndiyo wanaishusha thamani.
 
Back
Top Bottom