loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Amesemaje?Leo asubuhi cloud FM wamealika mtaalamu kutoka BOT azungumzie Bitcoin and Cryptocurrency technology.
This Cryptocurrency and Bitcoin is the future.
huyo mvette na hilo cigar lake ukimuangalia kwa makini utajua ni tapeli tuIts very simple kuzigeuza kuwa tshs ingawaje dhumuni ni kutoa hizi paper money na kusisitiza matumizi ya hizi Cryptocurrency maana kwa sasa hadi be forward unaweza kununua magari kwa Bitcoin.. Lamborghini magari yao wanauza kwa Bitcoin...Microsoft wanauza bidhaa zao kwa Bitcoin.. Ulaya nchi nyingi zina ATM za kutolea Bitcoin kama hardcash so kwa ulaya wamefikia pazuri.
Ila kwa huku kwetu kuna njia mbili njia ya kwanza ni kupitia kuzibadilisha kutoka Cryptocurrency kuwa paper money kwa kuziuza mtandaoni kwa wateja walioko lukuki mtandaoni wanafanya kugombea wakisikia unauza maana ni adimu muda huu Mimi hapa nauza baadhi ya hizi sarafu za mtandaoni hizi Cryptocurrency mteja wangu alieko Vietnam anaitwa Nguyen angalia hizi screenshot za mazungumzo yangu na yake.
its very simple, convenient and faster muda huu nauza kama za laki mbili za kupigia mtungi jioni. Sasa wewe kabebe rumbesa kariakoo ukidhani utajiri unapatikana kwa maguvu..utajiri unapatikana kwa kufanya kazi kwa akili ukitumia nguvu utadeki bahari. Ndio maana wanaotumia akili wanalipwa kingi kuliko wanotumia nguvu..rejea malipo ya majeshi..wanaosonga mbele wapiganaji wanalipwa posho tu..wanaotumia akili wanalipwa mshahara kabisa. Japo wote wanaamini wanalipwa mshahara.
Pale mikocheni kuna sehemu wanachukua Bitcoin kwa manunuzi ya vitu mbali mbali. Mkuu tuna bahati kuvijua hivi vitu in its early stage..tujifunze kwa wakati wetu ukitegemea nitaleta semina elekezi Mimi sileti ng'o..nachofanya ni kuraise awareness tu basi ili wenye macho waone na wenye masikio wasikie.
Ahahaha! Mkuu huyo kwenye background pic mwenye cigar ni Schwarzenegger aka commando John.huyo mvette na hilo cigar lake ukimuangalia kwa makini utajua ni tapeli tu
mshaambiwa hakuna utajiri simple namna hyo lkn mnakuwa hamuelewi bakhresa mwenyewe sasa hv anasherehekea anniversary ya 47 years kupata huo utajir alionao, mack zuckerberg mwenyewe imemkosti miaka 14 kufikia tajiri namba tano dunia, afu wewe unaleta huo upupu wa bitcoin eti unalala masikini unaamka tajiri, pole sana ushalizwa nenda ukalipizie kwa ndugu zako kijijini kuleKatika maisha upepo ukivuma usikinzane nao uelewe nature yake na uenende nao sambamba ili usikupige mweleka...muhimu ni kushabihiana nao. Cryptocurrency tunataka au hatutaki ndio nature ya digital payment kwa sababu mbili kuu ni pesa inayoweza kutumika kwa transaction halafu ni investment at the same time.
Kwa wale wenzangu waliosoma finance wanaelewa money yeyote its just a paper ambayo wanajamii wamekubaliana iwe ndio kielelezo cha thamani kwa hiyo pesa haina thamani yeyote maana ni makaratasi tu ila tu ni sisi tumekubaliana kwamba iwe na thamani.. The same na Bitcoin ni watu wamekubaliana iwe na thamani kutokana na nature yake ya kuwa tabia zote muhimu za hela kama scarcity, durability, portability, e.t.c na kwenda mbele kidogo kuzidi hizi pesa zingine kwa kuwa na decentralized advantage anyways tuyaache haya.
Binafsi nimeijua hii Cryptocurrency mwaka 2017 ila nilikuwa mbishi na siamini na niiliipinga kwa nguvu zote ila baadae nikaamua kujipa space ya kufuatilia na ilipofika Nov ndio nikaifahamu sarafu inayoitwa Ripple ikiwa na price ya $0.2 nikadharau na nilikuwa na jamaa yangu akinisisitiza ninunue hima hata sarafu za laki tano maana zilikuwa cheap and affordable nikadharau ghafla bei ikaspike kutoka $0.2 hadi $3.5 na jamaa alinunua coin takribani 40000 kwa tshs nadhani haikuzidi $260 maana ndio ilikuwa initial investment yake wakati huo..asee!! Ina maana ni 3×4000= $12000 na kwa madafu ni tshs 26,400,000/= roho iliniuma sana kwanini niliignore ushauri wa yule jamaa na yeye kwa wakati huo anajilaumi kwanini hakuweka mzigo wa maana angeyakatia denge maisha mapeeemabei ya awali hii then ghafla ikaspike hadi hii hapa price to dare is to do..hujachelewa tenga muda wako jifunze zaidi juu ya hii hopefully it won't surely let you down.. Sio upatu huu wala DECI its investing early for the benefit of the future.
Hapo ndipo nilipoanza seriously kufuatilia hii ishu na sasa nimegundua its good to invest on ICO au aidrop ambapo hii airdrop kitaalamu ni kampeni ya kugawa coin bure kama strategy ya marketing hii unaweza kuwekeza kwa only sign up tu then unapewa free coins kadhaa maana wao wenye coin wanaitumia kama marketing strategy ya coin yao kupata users and build network of their investors wengi hence inakuwa positive investment for the future..kwa sasa Kuna coin moja iko kwenye Aidrop inakuja kuipa maximum challenge YouTube na all other related site ambazo ni za video streaming yaani hawa jamaa unalipwa pesa kwa kuplay any multimedia via hiyo block chain technology yao...its gonna be huge with an amazing potential inaitwa CURRENT ifuatilie mapema kabla hujachelewahuko telegram naona wana member kama 100,000 hawa wanasubiri official launch ya ICO ili wanunue mapeema na hii ni kwa miezi miwili imagine mwaka itakuwaje? check hapa telegram yao bado Twitter e.t.c yaani nakupa fact tupu na evidence juu.. na wote wanasuburi mzigo uanzee kuuzwa wanunue imagine kama hawa wazungu kila mmoja akinunua kwa minimum dola $500 pekee zidisha na idadi ya watu 100,000..500×100,000= $50,000,000/= kwa madafu 50,000,000×2300= Tshs 115,000,000,000/= its very simple mathematic ya mwezi mmoja tu wa hilo boom wanazalishwa mamilionea kibao for the next coming years hii ishu ya Crypto imewanufaisha zaidi Wakorea, Wamarekani, Wachina na Wahindi maana wao wameiamini na kuimaster mapema lakini sisi hakina Shambuku tutazidi kutafuta mchawi hadi mwisho wa dunia kila kitu hujuaji tu wakati hakuna tunachojua smartphone ni kwa ajili ya Mange kimambi na jamii forum pekee.. Imbecilic! Ingia hapa Current Media ukikisajili tu via this link unapewa free current coin 5 za papo kwa papo then unasubiri Initial coin offering maana hii ni airdrop tu..airdrop which simply means you make money from air...yaani unaenda kiwandani kununua sabuni..sio sawa na Yule atakaenunua kwa wakala..wa kiwandani atapitia na masaza ya kutosha mixer bakshishi.
Usije sema hukupata taarifa..yajayo yanasisimua na kufurahisha. Just learn more to earn more now.
Wewe ni mpuuzi hivyo sidhani kama kuna haja ya kukufungua macho..endelea kuwa kipofu!mshaambiwa hakuna utajiri simple namna hyo lkn mnakuwa hamuelewi bakhresa mwenyewe sasa hv anasherehekea anniversary ya 47 years kupata huo utajir alionao, mack zuckerberg mwenyewe imemkosti miaka 14 kufikia tajiri namba tano dunia, afu wewe unaleta huo upupu wa bitcoin eti unalala masikini unaamka tajiri, pole sana ushalizwa nenda ukalipizie kwa ndugu zako kijijini kule
Hii kitu naona ni sawa na mambo ya kufikia ikawa tu, hakuna tofauti na issue ya babu wa loliondo. Watanzania tufanye kazi na kuacha kudanganyika na haya mambo!
mkuu unaelezea vizuri sana, safi sana.Usijali Kasie nazijua busara na hekima zako na naamini unataka kujifunza kitu kipya.
Iko hivi Forex ni kifupi cha "foreign exchange" yaani maana yake ni soko la ubadilishaji wa fedha lililowekwa katika muktadha wa digital global foreign exchange yaani soko la dunia la ubadilishaji wa fedha hivyo hii ni biashara sawa kabisa na bureau de change isipokuwa Forex imekiwa advanced na unauza na kununua kwa kitu kitaalamu wanaita "leverage" kutoka kwa broker yaani ile hela ya broker anakuazima uongezee kufanyia biashara ya kuuza na kununua fedha. Na hapa ndipo risk kubwa na faida kubwa zinakuandama maana kwa mtaji wa dola $100 unaweza kupata faida ya dola hata $700 at the same time analysis zako zisipoenda sawa unaipoteza hiyo dola $100 haraka sana. Ni leverage pekee ndio inaitofautisha bureau de change za mtaani na hii bureau de change ya mtandaoni "digitalized" yaani Forex.
Na ukubali ukatae ushafanya hii biashara kwa namna moja au nyingine fikiria umesafiri na kulazimika kununua fedha za nchi husika ili utumie utakapoingia nchi hiyo then baada ya kununua na kuingia nchi husika then unatumia kiasi kidogo na unarudi border kubadilisha unakuta thamani ya tshs imepanda dhidi ya fedha ya Kenya unaondoka na kafaida ka tshs kadhaa. Hapo unakuwa umefanya Forex bila kujua. So Forex its not a scam as watu wanaclaim its legal online digital foreign exchange market.
Hii ilikuwa Forex but Cryptocurrency haina ushabiianisha hata kidogo na Forex maana Cryptocurrency ni digital virtual money used for transaction and investment. Hizi ni fedha za mtandaoni ambazo zimetengenezwa kwa only code number kwa kutumika kwa ajili ya manunuzi na uwekezaji. Baba yao akiwa Bitcoin alietengenezwa mwaka 2009 na mjapan anaeitwa Satoshi nakamoto kwa lengo la kuondoa urasimu katika taasisi za kifedha kwa kuondoa middle man mtu wa kati amabe huwa anakula kamisheni zetu tukituma na kununua vitu mbali mbali kupitia mabenki. That's why mfumo wa hii sarafu ya mtandaoni ni decentralized na sio centralized ukisika centralized ina maanisha uchumi ulio na center inayogovern na kuregulates fedha zote za dunia au nchi husika..mfano USA wana Federal reserve then Tanzania tuna BOT. But dhumuni la Cryptocurrency ni kuwa decentralized ukiona "de" kwenye neno la kiingereza ni ukanusho ina maana Mimi na wewe tunakuwa benki na kutokuwa na centralized inayokula kamisheni zetu kirahisi kwa kututunzia hela zetu na kutusaidia kufanya miamala sasa Bitcoin na virtually digital money zote zinafanya haya yote bure.
Nafikri hata Bitcoin wamechelewa maana sisi huku tayari tulikuwa na digitally Money ya mpesa tangu zamani sana na hii ni digitalized codes tu kwani kuna mtu alishashika mpesa hapa? Hapana!? Its just virtual money tu haishikiki Bali ina thamani na pia hii mpesa hii yetu inatumika pekee kwa miamala na sio investment kama vile Bitcoin inavyotumika kwa sasa. Store of value at the same time transaction money.
Experts and scholars wa masuala ya virtually money and Cryptocurrency wanasema hadi 2020 half population ya dunia watakuwa wana smartphone hivyo wataadapt huu mfumo mpya wa digital money na kufanya paper money kitaalamu zinaitwa "fiat Money" zote zitumike pamoja na kuexist peaceful within monetary social world though watu watapoteza imani haraka na paper money kutokana na nature yake ya urasimu wa hizi centralized institutions na imani itaongezeka kwenye decentralized hizi Bitcoin and other Cryptocurrency kutokana na kutokuwa na urasimu.
I hope it make sense kwa haya maandishi.