Yajue baadhi ya mambo ya Upagani yaliyoingizwa na kufuatawa katika Ukristo.

Hapo namba nne, unaweza nitolea andiko kwenye biblia linalosema siku ya sabato ni jumamosi,
 
Yote kwa yote hizo ni tawala na biashara za world elite class, sisi wengine kazi yetu ni kufanya kazi na kuwapelekea mapato kila wiki na ndio dunia ilivyo huwezi kubadili kitu,
Don't stress about it
 
Huwa najiuliza sana ule utaratibu wa waislamu kubadilisha ratiba ya kula kwa mwezi mmoja wameutoa wapi?
 
Unajua kuna mambo mengi sana ya kututoa kwenye kweli lakini watu wanatakiwa wajue wanacho paswa husika nacho..

Aim ya Ukristo ni Kristo tukistick katika kumjua Kristo hakuna kitakacho tupotosha
Mbona kumjua huyo Kristo kupo complex sana mara Mungu , mara mwana wa Mungu mara mpk upitiwe na roho mitakatifu ndio ulewe vizuri ...yaani basi mambo hayaeleweki.

Nikifanya research fupi kwa Wateja wangu na rafiki zangu kuhusu Imani ya Yesu , mmoja nikamuuliza je Yesu ndiye Mungu aliyekuumba ? akakataa akasema yeye ana amini ni mwana wa Mungu, mwengine Yeye akashikilia kuwa ni Mungu ....yaani watu wanapingana kila mtu na lake
 
Hayo aliyoyasema mtoa post yapo kwenye bible au hapana?

Kama hayapo kwanini mnaenda kinyume na bible?
 
Huwa najiuliza sana ule utaratibu wa waislamu kubadilisha ratiba ya kula kwa mwezi mmoja wameutoa wapi?
Kama unazungumzia funga basi ni kwenye Qu'ran, uzuri wa Waislamu kila mpaka Kiwe Cha dini lazima kitolewe kwenye Kitabu ndio maana wazushi katika dini wanafanya ibada na kuuza jambo Kisha kulipa sura ya dini bila kuwa na dalili sahihi kutoka kwenye vitabu kwa ufahamu sahihi huwa Wanatengwa na kuitwa watu wa Bidaa
 
Allah akujalie qaul thabit Abdu.

Umekengeuka.
Kijana Mungu ana jina kwa Kichaga.
Mungu ana jina kwa Kiethiopia.
Mungu ana jina kwa Kimburu.
Hii yote Ni kuonesha yupo kila Mahali, iweje leo mtu akuletee Mungu na mafaili yake kwenye briefcase ?

Yaani huwezi kuwa Muislam Hadi uvae na kuongea Kama Muarabu na huwezi kuwa Mkatoliki Hadi uvae na kuongea Kama wao .....Tamaduni.

#Qaul Thabeet Khafidh Khadeed.
 
Mnajifanya mnajua dini kuliko walioanzisha waafrika sijui wakoje
 
mungu ni cheo sio jina

miungu ipo kibao

akili kumkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…