Yajue baadhi ya mambo ya Upagani yaliyoingizwa na kufuatawa katika Ukristo.

Yaani watu wengi wapo shallow hata kujua TU Ukristo umeanzia Africa na kuenea huko kwengine na kurudi(ikiwa kwenye maandiko).
 
Dini imenifanya niwe mpumbavu sana. Yani Mimi wa kupiga Magotti na kulia mbele ya Dangote Cement iliyopakwa rangi..

Huu ugonjwa utuachie.
Naumiaa sana kila nikikumbuka.
Kutubu dhambi kwa Jamaa kafichama kwa Kibanda.

mshamba_hachekwi
Kuna video naotafuta nikiipata utalia machozi na kuona Bora wewe , Kuna watu wanagalagala mbele ya sanamu wakilia na kulilamba kama wehu vile.
 
Mungu ni mmoja na YESU kristo ndio jina lake.
 
Dini hizi Balaa sana niishie kusema ivyoo tu, Ila mm kama mwafrika Din yangu ya kwanza ni "Africanism" hizo nyingine ni saporting tuu japo hatuna Manyuscript au gaidence of the way of livingi ila najua Hao whites (EUROPEANS & ARABS)walifanya juhudi kubwa kuficha dini ya mwafrika Rejea kitabu cha ENOCK kwann hawakukiingiza kwenye Biblia
Najaribu kuwaza tuu ila jibu sipati
 
Taja dhehebu la kikristo ambalo halikutokanaachoitwa na Roman Catholic ?

Weka historia yake lilianzia wapi?
Jacobians, st Thomas christians in India.
Tatizo iliporasimishwa kuwa dini ya serikali na wakina mfalme constantine ilikuwa ni uhaini kuonekana mtu anakitu chochote kinachoitwa ukristo nje ya dini ya kaisali. Walipotezwa na wengine wakawa undercover wakaibuka baada ya hilo vuguvugu kufa. Hiyo ndio nguvu ya kuhoji uwepo wa dhehebu lingine inakopatikania.
 
Akili ipo limited..

Yesu ni Mungu
Jina la Mungu ni Yesu, neno Mungu linabeba sifa.

akili inakataa kwasababu inawezekanaje Mungu awe mwanadamu? Na hapo unaona limitation ya akili. Uumbaji wake Mungu na matendo yake na maamuzi yake yapo beyond na fikra zetu zote.

Lakini ndio ukweli aliiba ubinadamu ili kuukomboa ulimwengu na kutu lipia deni letu la dhambi.
 
Kaka, una uelewa mdogo sana wa mambo ya Mungu but una elimu kubwa sana ya mambo ya DINI.
Kwamba pasaka ni sherehe za kipagani? Kwamba mavazi ya kikuhani na yenyewe ni upagani? Mnasomaga Biblia gani nyie?
 
Kwa hiyo sasa hatuna dhambi ? kaa ufikiri kwa makini suala la kuamini Uungu wa Yesu ni Imani potofu ya kiwango Cha juu kabisa.
 
Mara zote nikisikia mambo kama haya,najiuliza mbona hili Kanisa lina nguvu mahali pote duniani kama kama liko tofauti na Biblia? Maana Mungu tunayemuamini hawezi ruhusu Kanisa hili kutawala Ulimwengu wote ikiwa halifuati maagizo yake. Mfano kidogo tu ni siku ya jumapili ambayo Dunia nzima huwa mapumziko. Je ni Kanisa gani limeiweka hii siku na ikawa Ulimwenguni pote? Kanisa ni Moja Katoliki la Kitume,huko kwingine ni usumbufu.
 
Kwa hiyo sasa hatuna dhambi ? kaa ufikiri kwa makini suala la kuamini Uungu wa Yesu ni Imani potofu ya kiwango Cha juu kabisa.
Pole mkuu.. Tatizo la dhambi limetatuliwa miaka 2000 iliyopitia.. Kilichopo sasa ni kumkubali huyo Yesu maana yeye peke yake ndio njia kweli na uzima.. Ili uweze kuishi pasipo kutawaliwa na tamaa za mwili lazima ukubali huyo kama Bwana na Mwokozi wako.. Uta mkataa sasa hivi lakini huwezi kukwepa..
 
Iyas au yaas inahusishwa na ushoga lakini hapa unaposti kwa kutumia Mtandao wa yaas.

Je wewe ni shoga?
 
Mnahangaika sana,ulizaliwa ukazikuta hizi taratibu utakufa utaziacha,fanya mambo yako
Kuzaliwa kuzikuta na kufa kuziacha, Haimaanishi kwamba ndio haziwezi kukosolewa. Au kwamba ndio zitadumu milele.

Zita endelea kukosolewa vizazi kwa vizazi hadi zitakuja kufutika.

A lie must surely perish.
 
11. Kuvaa mavazi maalum ya kidini (kanzu, kofia, na mkufu wa makuhani)
Yesu naye alivaa kanzu kumbe naye kaiga wapagani!

Walokole hubadilisha bar kuwa makanisa unasemaje hapo wamekosea?

Basi ni kazi ya Ukristo kubadilisha kila kilichokuwa cha kipagani kuwa cha Mungu Mwenyezi kwani vyote ni mali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…