Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Ni walewale tuHawa si walokole.
Ni wasabato
hizo ngano za mashariki ya kati zikikutawala akili unakuwa kama tutusa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni walewale tuHawa si walokole.
Ni wasabato
Uchizi wa mtu mmoja usijumuishe kwa watu wengine. Alichokifanya ndugu yako, hilo lilikuwa tatizo lake binafsi. Huo huenda ulikuwa ni ujinga wake wa kushindwa kutafsiri maandiko ya Biblia kwa usahihi.Ulokole ni kiwango cha uchizi stage 5 kufikia ya saba.
kuna ndugu yetu alishwai kusimamisha msiba kusema marehemu hata fufuka aliomba siku nzima akiwa na maiti sebuleni
Nawaelewa sana hakuna mlokole aliyesalama kiakili.Uchizi wa mtu mmoja usijumuishe kwa watu wengine. Alichokifanya ndugu yako, hilo lilikuwa tatizo lake binafsi. Huo huenda ulikuwa ni ujinga wake wa kushindwa kutafsiri maandiko ya Biblia kwa usahihi.
Shetani amepofusha fikra zako, mpinge atakimbia (Yak 4:7-10)Ni walewale tu
hizo ngano za mashariki ya kati zikikutawala akili unakuwa kama tutusa.....
Yesu ni MunguYesu kristo naye alikua mlokole?
Hilo nalijua ..nauliza ulokole umetokea wapi sasa ?Yesu ni Mungu
Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa
1. Ushahidi wa Kibiblia Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo." Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu: Yohana 10:30 – "Mimi...www.jamiiforums.com
Lakini wapo ndugu zetu ambao ni walokole waliokufa kwa ukimwi, hapo unasemaje?Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Mwisho wao ni wa utukufu kwa sababu Mungu anawaandalia makao ya milele(glorious eternal homes prepared by God!) Yn 14:2-3
- Hawalogeki. Wachawi wakijaribu kuwaloga ili waugue au wapate mikosi, uchawi wao unafeli. Isa 54:17
- Wakifanya biashara, pesa yao haiibiwi na 'chuma ulete.' Mungu analinda kazi zao. Kum 28:8
- Hawaugui magonjwa ya zinaa kama vile Syphilis, Gonorrhea, Chlamydia, Genital Herpes - HSV-2, Human Papillomavirus - HPV, Trichomoniasis, Chancroid... kwakuwa uasherati na uzinzi ni marufuku kwao. 1 Kor 6:18
- Wana amani tele hata katikati ya dhoruba za maisha. Yn 14:27
- Maombi na dua zao zinajibiwa. Yer 33:3
- Wana furaha ya kweli isiyoyumbishwa na hali za dunia. Neh 8:10
- Mungu huwalinda dhidi ya maadui zao. Zab 91:7
- Wana ujasiri wa kipekee. 2 Tim 1:7
- Wanaona miujiza mingi katika maisha yao. Mk 16:17-18
- Wanapokumbwa na majaribu, wanashinda kwa kishindo. 1 Yoh 5:4
- Wanaongozwa na Roho Mtakatifu katika maamuzi yao. Rum 8:14
- Hawafi mapema kabla ya wakati wao. Zab 118:17
- Mungu huwafungulia milango ya fursa na neema. Ufu 3:8
- Hawana hofu wanapolala usiku. Wanalala usingizi wa amani. Zab 4:8
- Wanapotoa, wanabarikiwa maradufu. Lk 6:38
- Wanapata ushindi bila wao kupigana kwa kuwa Mungu huwapigania. Kut 14:14.
- Wanakwepa mitego ya adui kwa ufunuo wa Mungu. Amo 3:7; Mt 10:26
- Wanapitia magumu, lakini wanatoka wakiwa na ushindi. Yk 1:12
- Mawazo yao yamejaa amani na si hofu. Isa 26:3
- Hawadanganywi kirahisi na mafundisho potofu, kwa sababu wana Roho wa Mungu. 1 Yoh 2:27
Kama ulidanganyika na kuamini kwamba kuokoka ni ujinga basi leo umeujua ukweli. Kuokoka ni faida na wala sio hasara.
Those are the tangible and experiential benefits of salvation. If you were previously misled into believing that surrendering to Christ is folly, today you have encountered the undeniable truth. Welcome to the sanctified family of the redeemed in Christ.
Hamna binadamu mkamilifu. Hayo uliyoyaeleza ni matamanio ya walokole wengi na binadamu wengi lakini kuyaishi ni ngumu. Tuendelee kula mema ya dunia.Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Mwisho wao ni wa utukufu kwa sababu Mungu anawaandalia makao ya milele(glorious eternal homes prepared by God!) Yn 14:2-3
- Hawalogeki. Wachawi wakijaribu kuwaloga ili waugue au wapate mikosi, uchawi wao unafeli. Isa 54:17
- Wakifanya biashara, pesa yao haiibiwi na 'chuma ulete.' Mungu analinda kazi zao. Kum 28:8
- Hawaugui magonjwa ya zinaa kama vile Syphilis, Gonorrhea, Chlamydia, Genital Herpes - HSV-2, Human Papillomavirus - HPV, Trichomoniasis, Chancroid... kwakuwa uasherati na uzinzi ni marufuku kwao. 1 Kor 6:18
- Wana amani tele hata katikati ya dhoruba za maisha. Yn 14:27
- Maombi na dua zao zinajibiwa. Yer 33:3
- Wana furaha ya kweli isiyoyumbishwa na hali za dunia. Neh 8:10
- Mungu huwalinda dhidi ya maadui zao. Zab 91:7
- Wana ujasiri wa kipekee. 2 Tim 1:7
- Wanaona miujiza mingi katika maisha yao. Mk 16:17-18
- Wanapokumbwa na majaribu, wanashinda kwa kishindo. 1 Yoh 5:4
- Wanaongozwa na Roho Mtakatifu katika maamuzi yao. Rum 8:14
- Hawafi mapema kabla ya wakati wao. Zab 118:17
- Mungu huwafungulia milango ya fursa na neema. Ufu 3:8
- Hawana hofu wanapolala usiku. Wanalala usingizi wa amani. Zab 4:8
- Wanapotoa, wanabarikiwa maradufu. Lk 6:38
- Wanapata ushindi bila wao kupigana kwa kuwa Mungu huwapigania. Kut 14:14.
- Wanakwepa mitego ya adui kwa ufunuo wa Mungu. Amo 3:7; Mt 10:26
- Wanapitia magumu, lakini wanatoka wakiwa na ushindi. Yk 1:12
- Mawazo yao yamejaa amani na si hofu. Isa 26:3
- Hawadanganywi kirahisi na mafundisho potofu, kwa sababu wana Roho wa Mungu. 1 Yoh 2:27
Kama ulidanganyika na kuamini kwamba kuokoka ni ujinga basi leo umeujua ukweli. Kuokoka ni faida na wala sio hasara.
Those are the tangible and experiential benefits of salvation. If you were previously misled into believing that surrendering to Christ is folly, today you have encountered the undeniable truth. Welcome to the sanctified family of the redeemed in Christ.
Pole, umeongea kama yule aliyesema "Sizitaki Mbichi Hizi"Hamna binadamu mkamilifu. Hayo uliyoyaeleza ni matamanio ya walokole wengi na binadamu wengi lakini kuyaishi ni ngumu. Tuendelee kula mema ya dunia.
Kwenye Uzinzi apo usiwasemee...vidada vya kilokole vinagawa mbususu kiulaini sana...ni ujue kucheza na biti lake...tena ile wanaita mikesha ndio anakuja geto sasaHapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Mwisho wao ni wa utukufu kwa sababu Mungu anawaandalia makao ya milele(glorious eternal homes prepared by God!) Yn 14:2-3
- Hawalogeki. Wachawi wakijaribu kuwaloga ili waugue au wapate mikosi, uchawi wao unafeli. Isa 54:17
- Wakifanya biashara, pesa yao haiibiwi na 'chuma ulete.' Mungu analinda kazi zao. Kum 28:8
- Hawaugui magonjwa ya zinaa kama vile Syphilis, Gonorrhea, Chlamydia, Genital Herpes - HSV-2, Human Papillomavirus - HPV, Trichomoniasis, Chancroid... kwakuwa uasherati na uzinzi ni marufuku kwao. 1 Kor 6:18
- Wana amani tele hata katikati ya dhoruba za maisha. Yn 14:27
- Maombi na dua zao zinajibiwa. Yer 33:3
- Wana furaha ya kweli isiyoyumbishwa na hali za dunia. Neh 8:10
- Mungu huwalinda dhidi ya maadui zao. Zab 91:7
- Wana ujasiri wa kipekee. 2 Tim 1:7
- Wanaona miujiza mingi katika maisha yao. Mk 16:17-18
- Wanapokumbwa na majaribu, wanashinda kwa kishindo. 1 Yoh 5:4
- Wanaongozwa na Roho Mtakatifu katika maamuzi yao. Rum 8:14
- Hawafi mapema kabla ya wakati wao. Zab 118:17
- Mungu huwafungulia milango ya fursa na neema. Ufu 3:8
- Hawana hofu wanapolala usiku. Wanalala usingizi wa amani. Zab 4:8
- Wanapotoa, wanabarikiwa maradufu. Lk 6:38
- Wanapata ushindi bila wao kupigana kwa kuwa Mungu huwapigania. Kut 14:14.
- Wanakwepa mitego ya adui kwa ufunuo wa Mungu. Amo 3:7; Mt 10:26
- Wanapitia magumu, lakini wanatoka wakiwa na ushindi. Yk 1:12
- Mawazo yao yamejaa amani na si hofu. Isa 26:3
- Hawadanganywi kirahisi na mafundisho potofu, kwa sababu wana Roho wa Mungu. 1 Yoh 2:27
Kama ulidanganyika na kuamini kwamba kuokoka ni ujinga basi leo umeujua ukweli. Kuokoka ni faida na wala sio hasara.
Those are the tangible and experiential benefits of salvation. If you were previously misled into believing that surrendering to Christ is folly, today you have encountered the undeniable truth. Welcome to the sanctified family of the redeemed in Christ.
Ulicheza na magugu sio ngano. Magugu yatachomwa motoni hata kama yanaenda mikesha!Kwenye Uzinzi apo usiwasemee...vidada vya kilokole vinagawa mbususu kiulaini sana...ni ujue kucheza na biti lake...tena ile wanaita mikesha ndio anakuja geto sasa
By default kondoo analika muda wowote bwan mchungaji akiamuaKama mkeo mlokole jua ameolewa na wanaume wawili
Mmoja mchungaji wake
Acha illusion...Pole, umeongea kama yule aliyesema "Sizitaki Mbichi Hizi"
Hayo niliyoyaandika ni ushuhuda wangu binafsi. Hivyo kama wewe ulitamani kuyaona hayo lakini ukashindwa, basi ujue ulikuwa hujaamua sawasawa kuokoka.
Wachawi wamejaribu kunidhuru sio mara moja, wamepigwa "KO" kwa Jina la Yesu. Majambazi walinivamia barabarani nikawakemea kwa Jina la Yesu wakatawanyika!
Mungu amejibu maombi yangu mengi sana. Niliomba nipate gari, ninalo. Niliomba nipate nyumba, ninayo. Niliomba nipate mtoto wa kiume, ninaye. Nilikopa mamilioni ya pesa benki, nikalipa deni lote bila kuchelewa hata siku moja. Nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya ajabu ajabu, lakini nikiyakemea kwa Jina la Yesu yanatoweka! Nilimuomba Mungu anipe ujuzi na maarifa, Mungu amenipa ujuzi katika maeneo mengi sana. Sijui nikuambie nini uelewe, mwanangu!
Yesu ni mzuri.
Zaburi 34:8 SRUV
Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumainia.
Naona unaandika Walokole Wafilipi tu sijaona ukiandika wale wa KibahaHapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”