Yajue maajabu 20 ya maisha ya "walokole"

Ulokole ni kiwango cha uchizi stage 5 kufikia ya saba.
kuna ndugu yetu alishwai kusimamisha msiba kusema marehemu hata fufuka aliomba siku nzima akiwa na maiti sebuleni
Uchizi wa mtu mmoja usijumuishe kwa watu wengine. Alichokifanya ndugu yako, hilo lilikuwa tatizo lake binafsi. Huo huenda ulikuwa ni ujinga wake wa kushindwa kutafsiri maandiko ya Biblia kwa usahihi.
 
Uchizi wa mtu mmoja usijumuishe kwa watu wengine. Alichokifanya ndugu yako, hilo lilikuwa tatizo lake binafsi. Huo huenda ulikuwa ni ujinga wake wa kushindwa kutafsiri maandiko ya Biblia kwa usahihi.
Nawaelewa sana hakuna mlokole aliyesalama kiakili.
 
Ni walewale tu
hizo ngano za mashariki ya kati zikikutawala akili unakuwa kama tutusa.....
Shetani amepofusha fikra zako, mpinge atakimbia (Yak 4:7-10)
2 Wakorintho 4:4 SRUV
"ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, wasiione nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
 
Yesu kristo naye alikua mlokole?
Yesu ni Mungu
 
Hilo nalijua ..nauliza ulokole umetokea wapi sasa ?
 
Lakini wapo ndugu zetu ambao ni walokole waliokufa kwa ukimwi, hapo unasemaje?
 
Hamna binadamu mkamilifu. Hayo uliyoyaeleza ni matamanio ya walokole wengi na binadamu wengi lakini kuyaishi ni ngumu. Tuendelee kula mema ya dunia.
 
Hamna binadamu mkamilifu. Hayo uliyoyaeleza ni matamanio ya walokole wengi na binadamu wengi lakini kuyaishi ni ngumu. Tuendelee kula mema ya dunia.
Pole, umeongea kama yule aliyesema "Sizitaki Mbichi Hizi"

Hayo niliyoyaandika ni ushuhuda wangu binafsi. Hivyo kama wewe ulitamani kuyaona hayo lakini ukashindwa, basi ujue ulikuwa hujaamua sawasawa kuokoka.

Wachawi wamejaribu kunidhuru sio mara moja, wamepigwa "KO" kwa Jina la Yesu. Majambazi walinivamia barabarani nikawakemea kwa Jina la Yesu wakatawanyika!
Mungu amejibu maombi yangu mengi sana. Niliomba nipate gari, ninalo. Niliomba nipate nyumba, ninayo. Niliomba nipate mtoto wa kiume, ninaye. Nilikopa mamilioni ya pesa benki, nikalipa deni lote bila kuchelewa hata siku moja. Nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya ajabu ajabu, lakini nikiyakemea kwa Jina la Yesu yanatoweka! Nilimuomba Mungu anipe ujuzi na maarifa, Mungu amenipa ujuzi katika maeneo mengi sana. Sijui nikuambie nini uelewe, mwanangu!
Yesu ni mzuri.
Zaburi 34:8 SRUV
Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumainia.
 
Kwenye Uzinzi apo usiwasemee...vidada vya kilokole vinagawa mbususu kiulaini sana...ni ujue kucheza na biti lake...tena ile wanaita mikesha ndio anakuja geto sasa
 
Kwenye Uzinzi apo usiwasemee...vidada vya kilokole vinagawa mbususu kiulaini sana...ni ujue kucheza na biti lake...tena ile wanaita mikesha ndio anakuja geto sasa
Ulicheza na magugu sio ngano. Magugu yatachomwa motoni hata kama yanaenda mikesha!
Mathayo 13:24-30
"Yesu akawaambia mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika shamba lake; lakini watu walipokuwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. Basi majani yalipochipuka, yakazaa, ndipo yalipoonekana na magugu nayo. Watumwa wa yule mwenye nyumba wakamwendea wakamwambia, Bwana, si mbegu njema ulizopanda katika shamba lako? Basi, magugu yametoka wapi? Akawaambia, Adui amefanya hivyo. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayang’oe? Akasema, La, msije mkakusanya magugu mkang’oa pamoja na ngano. Acheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunaji, Kusanyeni kwanza magugu, myafunge mafungu mafungu mkayateketeze kwa moto, bali kusanyeni ngano ghalani mwangu."
WAKATI WA MAVUNO UMEKARIBIA. NA WEWE TUBU HARAKA USIJE UKACHOMWA MOTONI PAMOJA NA MAGUGU ULIYOFANYA NAYO UASHERATI.


Mithali 29:1 SRUV
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafla, wala hapati dawa.
 
Kama mkeo mlokole jua ameolewa na wanaume wawili
Mmoja mchungaji wake
By default kondoo analika muda wowote bwan mchungaji akiamua
Ni swala la kuamua anataka kula. Kondoo wa aina gani siku husika.
 
Acha illusion...

Hayo unayoongea watu wanapata bila kuwa walokole. Formula ni kuwa na nidhamu tu. Bila nidhamu huwezi yapata hayo.

Au gari, nyumba vilianguka kutoka mbinguni bila kufanya kazi?

Ulipona magonjwa bila kutibiwa? Ulizaa bila kusex?

Bila juhudi hakuna kinachoanguka kutoka mbinguni. Uwe mlokole uwe mpagani.

Full stop.
 
Naona unaandika Walokole Wafilipi tu sijaona ukiandika wale wa Kibaha
 
Mtumishi sijui kama we ni wa kike au kiume maana mtu anaweza kuweka avator/profile/status isiyo sahihi. Kwa jinsi ulivyo na unavyowasilisha mada nimevutiwa nawe kiasi cha kuuliza kama naweza kuona maono kwa lugha nyingine kuulizia kama jimbo liko wazi. Nadhani nitakuwa na ndoa imara yenye maadili ya kiungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…