Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Star Anise (kash kash) ni kiungo cha thamani kinacholimwa zaidi maeneo ya milimani yenye baridi kama Lushoto na Nyanda za Juu Kusini. Mti wake huchukua miaka kadhaa kuanza kutoa matunda, huku msimu mkuu wa uvunaji ukiwa ni kati ya Machi na Mei. Baada ya kuvunwa, matunda haya huanikwa juani hadi yakauke na kuwa na rangi ya kahawia tayari kwa soko la ndani na nje.
Tuone upande wa matibabu:
Mosi: Kashkash (Star anise) ,tumeric, pilipili manga na Alkisusi (Licorice). Kiboko ya fatigue, mafua, maumivu ya viungo, changamoto za tumbo n.k
Pili: Mchanganyiko wa Turmeric na Kashkash unaangamiza virus kwa sehemu kubwa na inashusha viral load kwa ukimwi na Homa ya ini.(pima baada ya wiki kuona matokeo)
Tatu: Hapa professor hata nguvu za kiume ipo vizuri hasa inasababisha mwanamume aweze kutoa mbegu Bora za uzazi. Inafaa kwa wanaume wagumba unaweza kujaribu (atomic bomb)
Nne: Tafuteni hizi dawa Mchanganyiko wa hizi mimea ni Mjarabu sana kwenye matibabu ya changamoto za UZEE ikiwemo
1.👉 Matatizo ya aina yoyote ya kuumwa mgongo kwa ajili ya uzee n.k
2. Kuwashwa mwili ni pamoja na kuzeeka kwa ngozi
3. Uchovu wa kupita kiasi
4.Magonjwa nyemelezi kama stress,hofu, kukosa usingizi
5.Miguu kukosa nguvu kwani Uzee huanza kutoka miguu kwenda juu.
6.Kusahau sahau
Mimea hiyo ni pamoja na:
1.=Mjafari(Zanthoxylum C.)
2.muegea (kigelian)
3. Kashkash (Star Anise)
4. Mwani (Seamoss)
5. Mashona nguo(B. pilosa)
6.Amla (P.Emblica)