Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

Mimi nimekuwa nikitumia maji kwenye carina yangu kwa miaka sasa, nikitaka kuanza kutumia coolant nitawezaje kutoa maji yote kwenye engine?
 
Mkuu Kwa hapa nchini nakushauri Bridge stone ziko vizuri na zinahimili barabara zisizo na lami..
Magari mengi aina ya van yanapoletwa nchini yanakuwa yamewekwa tairi/magurudumu yenye kipimo cha 165/70. Hiki ndicho kimeandikwa kwenye gari na.kwenye kitabu cha maelekezo (Owner's manual)
Baadaye naona.wengi hawaweki tairi/magurudumu ya kipimo hicho. Badala yake wanaweka 175, 185 nk.
Je hii ina manufaa au hasara gani?
 
Mimi nimekuwa nikitumia maji kwenye carina yangu kwa miaka sasa, nikitaka kuanza kutumia coolant nitawezaje kutoa maji yote kwenye engine?

Nenda kwa mafundi rejeta, wanamwaga maji kirahisi tu ila nashauri waisafishe vizuri njia pia kuondoa uchafu halafu uanze kutuumia coolant
 
Asante kwa elimu yako. Hakuna group la Whatsapp lakupeana elimu
 
Asante kwa somo zuri. Nina swali hapa mkuu .. Juu ya rejeta kuna ile pipe ambayo ndo wengi wanaweka maji n pembeni kuna chupa ya plastic ambayo inatunza coolant. Sasa swali ni je Kama kuna coolant kwenye ile chupa then fundi anasema anaongeza maji kwenye ule mdomo wa rejeta pale inakuwaje?
 
Na vp nikeweka pure water ama maji ya dukani lkn pia watahadharishe wasomaji kuhusu zile coolant za home made zinazouzwa 1000 mpaka 2000 kwa lita,,maana zile ni maji wanatia rangi tu. coolant nzuri ni ile special tu
 
Ile chupa ya pembeni ni ya kupunguzia pressure kwenye radiator [expansion tank] joto likiwa kubwa sana, na inatakiwa isijae ila radiator inatakiwa kuwa full with coolant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…