Yajue Madhara ya Vipodozi vyenye Kemikali na Vipodozi Vilivyopigwa Marufuku

na kuna wengine wanasoma na bado wanapuuzia.
 
Kwa hili simo ati The Boss nahusika hapa mimi nivea kweli
 
Last edited by a moderator:
sasa lawyer ukileta info kama hizi inabidi utushauri tupake nini tuuachane na hivo vipodozi. au mtuelekeze kwa maspeshalist wa ngozi kabisaaa.

Lawyers hatushauri kupaka au kutopaka wanja.

Ila kama ukitumia kipodozi halafu kikakudhuru hapo ushauri wetu utakuwa relevant.

Partner wangu snowhite ni specialist kwenye hizo anga.
 
Last edited by a moderator:
daaaah!!! sasa tufanyaje, tuache dodo? hapana kwakweli.

Hihiii

Nasikia hii ndio habari ya mujini lolz
Na ingine inakuja kwa kasi cjui queen eliza mweeee..
ushamba mzigo
 

Labda ndo maana imedaiwa kuwa asilimia 50 ya wagonjwa wanaotibiwa Muhimbili, kitengo cha Fiziotherapia, wanaumwa magonjwa yasiyoambukiza.

Baadhi ya magonjwa hayo ni pamoja na shinikizo la damu, kisukari, kuwa na mafuta mengi mwilini, kuongezeka uzito.

Lakini pia kuna kundi kubwa la wagonjwa wa kiharusi, uchakavu wa viungo na watoto wenye mtindio wa ubongo.

Watu wengi wameshindwa kupata elimu ya kuzuia magonjwa hayo yanayosababishwa na maisha yasiyozingatia misingi ya afya bora.

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/532593-magonjwa-yasiyoambukiza-yashika-kasi-tanzania.html
 
....huku wakifanya social media masturbation

hahahaah!!! halafu maelezo yako ya social media masturbation yaliniacha hoi, yaani mtu anajifungulia ID nyingine, moja anapost mwenyewe ID nyingine anamasturbate. lol. kazi ipo jamani kwenye hii mitandao.
 
Hihiii

Nasikia hii ndio habari ya mujini lolz
Na ingine inakuja kwa kasi cjui queen eliza mweeee..
ushamba mzigo

Nasikia Vipodozi asilia ndo habari ya mujini. Kiafya vipodozi vinavyodaiwa ni vya asili vipoje? Vimepitishwa na vyombo husika?





Mwali Singo ni Mchanganyiko wa Unga za Asili ikiwemo unga wa Liwa, dengu na manjano. Unga huu unaweza kuchanganywa na maji ya liwa au ya rose kusugulia usoni na mwili mzima kuifanya ngozi yako ing'ae na kupendeza.



Mawese Body Cream ni Cream iliyoandaliwa na mafuta ya asili ya mawese, inasaidia sana kung'arisha ngozi. Kwa wale walioharibika baada ya kutumia cream kali, cream hii ya asili itasaidia kuondoa wekundu na weusi wa machoni pamoja na michirizi iliyosababishwa na cream kali.



Maji ya liwa na Sabuni ya liwa vinasaidia sana kuondoa chunusi na mafuta usoni ndani ya wiki mbili tu unaona mabadiliko.



Mafuta haya ni mazuri sana kwa massage, ni malaini na yanaharufu nzuri mnooo.Yanasaidia sana kupunguza maumivu ya sehemu mbalimbali za mwili,harufu yake nzuri inasaidia sana kukufanya uweze pumzisha akili na kuondoa msogo wa mawazo.
 


Deodorant ya asili, ni nzuri kwa wale wenye harufu kali na jasho sana makwapani, pia nzuri kwa wale ambao wana tokwa na mapele au weusi, muwasho au kupatwa na madhara mbalimbali wakitumia deodorant zenye kemikali. Inauwezo wa kukaa zaidi ya miezi 6 mpaka mwaka. Kama imepishwa na vyombo husika sijui.

cc Nyani Ngabu
 
Mbona hata nyie wengi tuu asilimia 90 mnatumia
Huyo anayeandika gazeti nae utakuta anatumia sumu..km si ngozini kichwani...Anayetanganza nae vile vile

Haya ni maneno ya mtu asiyekuwa na fikra pevu...

Sidhani mtu huyu kama anaelewa uwepo wake kwenye sredi kama hii...
 
Na wanja si ni kipodoz au?? Mi wanja siachi ng'ooooo

No wonder anaongoza kwa uzuri duniani. Uso tuu unatupagawisha. Akiacha wazi kwingine je?

Huyu ukikutana nae anga fulani waweza kutoka nduki.



 
Hihiii

Nasikia hii ndio habari ya mujini lolz
Na ingine inakuja kwa kasi cjui queen eliza mweeee..
ushamba mzigo

na bado inakuja angel husninyo.... hiyo lazma umeremete, mtoto uwe mashallah!
 
No wonder anaongoza kwa uzuri duniani. Uso tuu unatupagawisha. Akiacha wazi kwingine je?

Huyu ukikutana nae anga fulani waweza kutoka nduki.




Unanichokoza eee hujui huyo ni mimii
 
Reactions: EMT
jicho shurti litiwe wanja shosti, wanja sunna. hakuna kuacha.

Utie usitie wanja ili kuujua uzuri wako wa bila poda nitakuzukia asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…