Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Bugatti la voiture noire, inatajwa kuwa ndiyo gari ya gharama kubwa kuliko gari zote duniani, ikiuzwa kwa Dola 19 milioni za Marekani sawa na Sh43.7 bilioni.
Gari hiyo inayotengenezwa nchini Ufaransa, ina uwezo wa kufikia spidi 300 ndani ya sekunde 13.3 na ina uwezo wa kukimbia kilometa 465 kwa saa (Spidi).
Ukiachilia mbali Bugatti la voiture noire, gari ya pili kwa kuuzwa fedha ndefu ni Rolls-Royce Sweptail inayotengenezwa Uingereza ambayo inauzwa Dola 13 milioni Marekani sawa na Sh29.9 bilioni.
Namba tatu ni Mercedes-benz may Bach Exelero, inayotengenezwa nchini Ujerumani, gharama yake ni Dola 8 milioni za Marekani sawa na Sh18.4 bilioni.
Namba nne ni gari aina ya Koenigsegg Ccxr Trevita inayotengenezwa nchini Swiden inayouzwa dola milioni 4.8 sawa na Sh11 bilioni.
Na katika orodha, namba tano inashikiliwa na gari aina ya Lamborghini Veneno inayouzwa Dola 4.5 milioni, sawa na Sh10.3 bilioni.Inatengenezwa Italy.
Asilimia kubwa ya wateja wa gari hizi walisema, walianza kutumia gari za chini za bei nafuu,kisha utamu ukawakolea wa magari, wakawa wanauza gari moja,wanaongezea fedha na kununua gari la juu yake mpaka wakafikia malengo yao.
Kwa Ushauri bure wa magari Economic, bajeti ya milioni 4 hadi 6 wasiliana nasi:0713-039875