Yani sijui wamelisahau vipi hili gari?Ongezea Mitsubishi Pajero Mini!
Kuna Mitsubishi flani Kama spacio za zamani zilivuma miaka 2002Yani sijui wamelisahau vipi hili gari?
RVR au CVR sikumbuki vizuri, lakini zilikuwa zinaitwa kitchen partyKuna Mitsubishi flani Kama spacio za zamani zilivuma miaka 2002
we unamiliki IPI??Waongo wakubwa mnadanganya umma mafundi wakishindwa kutengeneza gari ooh bovu mfano Cherokee mbona ipo pouwa
Linaitwa mitsubishi rvr ilijulikana kama kitchen party kwakuwa zilivyotoka wanawake wengi walizikimbiliaKuna Mitsubishi flani Kama spacio za zamani zilivuma miaka 2002