Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Ukiuatilia huu Uzi hununui gari!!/,ila wenhi wanataja tuu bila kuweka evidence
 
Wapi kuna mafundi wazuri wanao jua nini wanafanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari ni nzuri saana.....tatizo ni mafuta yetu na uelewa mdogo wa mafundi wetu kwenye mambo ya umeme wa magari.
Gdi watu wanalionea sana.
Kama utazingatia kuweka mafuta kwenye petrol station zinazojielewa. Hili gari halitasumbua hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…