Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Nyundo muhimu kwenye ufundi
Ujue wewe siyo fundi mimi kuna vitu nikiona umeshika nyundo tu nakuambia acha. Mazingira ya kufungua kitu kwa nyundo nayajua sana. Tatizo ni kutokujua effect resulted by vibration compact during hammering especially in these modern electronic car. Elimu ni mhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea Mitsubishi Pajero Mini!
Tatizo nini? Labda udogo wa nafasi ndani lakini kagari kenyewe hakana shida. Nilikanunua kwa ajili bibi mkubwa mwaka 2013, miaka zaidi ya saba sasa wala akaja wahi kusumbua. Kaliwahi kupigwa (ajali) kubwa. Kaliumia sana laki bodi yake nayo siyo mbaya, asilimia kubwa ya bodi yake ni chuma tena chuma imara. Ila tu ni kweli vifaa vyake bei kubwa, lakini vinapatikana na genuine, ukiweka umeweka.
 
Back
Top Bottom