Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Kwa muktadha huo Gx 100 vvti auto, inatakiwa ubadili engine baada ya km ngapi?
GX 110 sidhani kama kubadili engine hata ni option kama unafanya service kwa wakati. Magari Magumu sana haya.. Mengi yanakufa bodi ila engine ipo sahihi.
 
MAGARI YA AINA YOYOTE NI MAZURI MIMI NI FUNDI WA MAGARI GARI NI UTUNZWAJI FANYA SERVICE KWA UANGALIFU UBAYA MAFUNDI WENGI UKIMPELEKEA AFANYE SERVICE UKIMWAMINI BASI GARI UTALIONA BOVU MAANA YEYE ANAJALI PESA TU HATOKUFANYIA SERVICE INAVYOTAKIWA KAMA HUTOMSIMAMIA
Ni kweli mkuu. Na wapishi wengi wanaharibu chakula. Kila siku unabadilisha gereji

Kuwa na Fundi mmoja tu..

Msikilize anapofanya diagnosis.. Tuache kujifanya sie ndio mafundi.. Unamuelekeza Fundi cha kufanya. Dharau za kijinga kumuona Fundi boya tu.. Wakati ukienda kwa daktari unatulia. Sometimes wanatuacha ujinga wetu ukajimanifest huko road.

Muombe ushauri kulingana na uwezo wako wa kifedha kwa wakati huo. Mafundi wanaweza kukupa ushauri mzuri sana ukajikuta gari yako inadumu na unaifurahia.
 
Vipi kuhusu Toyota Ipsum na Toyota Nadia, je zinatatizo
 
Landlover model ya mwisho kidogo Defender angalau lakini zilizofuata ni majanga,Hata RangeRover old model bado ni tatizo
 
Back
Top Bottom