Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Nyundo muhimu kwenye ufundi

Dah ikifikia hapoo sasa Roho yangu uwa inaniuma sana najua ni chanzo cha tatizo lingine . Mtu anataka kubadili rubber bush anagonga camber na nyundo balaa utafili anataka kutengeneza Mashobo a.k.a Makanikia.
 
Baada ya hizo kuisha kinatokea niniii mzeee maana naona kachajii kapo mwishooii...au ikiisha ndio unapaki gariii

Likibaki jiwe moja Engine ya Petrol inajiwasha na kuchaji hilo battery.

Mara nyingi battery linafikia hali hiyo kama ukiwa umepaki unasikiliza radio au AC iko on. Ukiwa unatembea halifikii hiyo.
 
Nadhani ni vyema tukishazutambua gari mbovu, tukajuzana pia gereji za kisasa zilipo kwa wale wa dar na Tanga. Waliowahi kutumia Toyota Wish, ipsum au Brevis watuambie strength and weakness of these cars.
 
Freelander ina tatizo gani coz kuna mtu nimeshamlipa nusu bado nusu ili nichukue kitu.

Anaiuza 12M mi nilimwambia achukue 10 akakubali ila anasema engine ndo inashida but kanambia kuwa inaweza patikana for less than 2M.
Pole sana mkuu. kuna jamaa analo kafunga injini ya rav4.
 
Izo gari zilikuja mpya wanajeshi walikopeshwa miaka ya nyuma ivi,so haikuja mtumba so kukaa miaka 20 ni kawaida sana kwa gari iliyonunuliwa 0 km
Kwel kabisa mkuuu ila walio tunza ni wachache sana hadi leo hii wengi wao gari zimeishia kulala juu ya mawe...mzee ananipa story siku zimetoka yuko na jamaa yake wote wageni wa magari kutoka bandarini hadi lugalo jamaa anaendesha gia number 2 tu mzee ikabidi amuulize jamaa,vip garu haikimbii jamaa akajibu gari bado mpya mkuuu ndo maana haichanganyi
 
Hongera sana
9f4c575382bbe55098377df66ac5197b.jpg
c01c6eeff489cfb4327e4d782cc4baca.jpg
1b5ad678c4e125fb159c6277cd5759ab.jpg
 
Kwel kabisa mkuuu ila walio tunza ni wachache sana hadi leo hii wengi wao gari zimeishia kulala juu ya mawe...mzee ananipa story siku zimetoka yuko na jamaa yake wote wageni wa magari kutoka bandarini hadi lugalo jamaa anaendesha gia number 2 tu mzee ikabidi amuulize jamaa,vip garu haikimbii jamaa akajibu gari bado mpya mkuuu ndo maana haichanganyi
456d878f060641c5b5316514d8086cd8.jpg
 
LEGE,
Vile vile ulaji wake wa oil (vilainishi) ni hatari hii gar...
Hp yake si mchezo..
Kama huna hela hii si gar ya kukimbilia..
Ni nzur na affordable kwaakina sisi lakin operating cost yake si mchezo..
Ukifuata utaratibu hasa uwekaji wa oil linakaa muda sana ila kama ni zile oil za kuweka kwa wiki mara moja hii gar lazma useme mbovu na kuiweka namba moja kwa ubovu..
Spare parts zake hazpo kwa wingi bongo so vyuma vyake vikitafunika unananunua engine yote..
Haitumii piston kuchoma mafuta
 
Back
Top Bottom