Yajue magonjwa kumi hatari zaidi duniani

Mimba na ujauzito sio ugonjwa mkuu...
Waombe msamaha wanawake
 
hua sipend hiz story
Elewa tu kufa ni lazima mkuu ila kuugua hato magonjwa sio lazima

Ugonjwa kama wa moyo na sararani mtu akiugua chance ya kupona ni ndogo
 
Sukari ipo namba ngapi? Maana naona kama unatufariji tunaouguza watu wenye sukari,japo kweli nilisoma kuwa collabo ya sukari na presha ndiyo deadly,hiyo picha ya ukimwi ni ya mwaka 1990+ to-! Sikuhizi waathirika wa ukimwi ndiyo wanaoongoza kwa kupambana na umaskini na maradhi,wanakufa wasio waathirika kwa kutojali ila waathirika hawajisahau hata chembe! Wapo bize kujilinda huku wakikusanya noti!
 

Kisukari su Diabates ni ugonjwa hatari pia mkuu ila kwenye list sikuutaja maana nimeandika kama nilivyopata kwrnye source kama unavyojua list huwa inabasilikabadilika<
Nimefuatilia na kukuta ugonjwa huu huua watu zaidi ya milioni moja na nusu kwa mwaka

Ni kweli picha ni ya miaka ya 90 au 80
Siku hizi watu wanatumia ARV hivyo hawakondi na wanaishi mida mrefu ila vifo bado vipo na kutokana na kutoonesha dalili za Ukimwi bai watu hujua wamekuja kwa matatizo mengine
 
Ile ya kuhara bora ungeutoa coz ni ugonjwa wa msimu pia ni ugonjwa wa watu maskini especially africans
 
Ile ya kuhara bora ungeutoa coz ni ugonjwa wa msimu pia ni ugonjwa wa watu maskini especially africans
Mkuu usiudharau huu ugonjwa
Kwani hujawahi kuona tajiri anaharisha mkuu ?
Ila ni kwelk unaathiri zaidi maskini kutokana na kuishi sehemu hatarishi mfano mabondeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…