Wana JF, Kuna nyepesi kwamba wanafunzi Watanzania wanosoma nchini Cuba Maisha ngumu kweli Kufuatia hali ya maisha kuwa juu sana ukulinganisha na pesa yao ya mkopo wanayotumiwa na HESLB! Waliomba Govt iwaongezee lakini mpaka leo wamepigwa chini, wanaendelea tu kujililia maisha magumu huko waliko. Tuwaombeeni MOLA Awajalie.
Picha hiyo
Picha hiyo