Yajue maisha ya wanafunzi cuba!!!

Yajue maisha ya wanafunzi cuba!!!

murimi

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Wana JF, Kuna nyepesi kwamba wanafunzi Watanzania wanosoma nchini Cuba Maisha ngumu kweli Kufuatia hali ya maisha kuwa juu sana ukulinganisha na pesa yao ya mkopo wanayotumiwa na HESLB! Waliomba Govt iwaongezee lakini mpaka leo wamepigwa chini, wanaendelea tu kujililia maisha magumu huko waliko. Tuwaombeeni MOLA Awajalie.
Picha hiyo
 
Attachments

  • DCM003.JPG
    DCM003.JPG
    101.6 KB · Views: 478
Ndio maana yule msela wangu hata fb kuingia kwa manati...kumbe inawezekana hela ya kuweka bando ni utata..mungu atawasaudia..mchumia juani hulia kivulini
 
kwan tz hamna vyuo,km life gumu basi warudi 2 home
mkuu acha mawazo ya kichawi chawi mkuu, kwani wakikaa hapa nyumbani tofauti yake itakua ipi?? ni vyema serikali kusomesha awtu wetu nje kwa wingi iwezekanavyo ili tujifunze na wengine wanafanya nini, dunia ya sasa si kama ya zamani mkuu, huo ndio mpango mzima
 
Ndio maana yule msela wangu hata fb kuingia kwa manati...kumbe inawezekana hela ya kuweka bando ni utata..mungu atawasaudia..mchumia juani hulia kivulini

kweli mkuu kule gharama ya internet ni kubwa kupita maelezo..kuna jamaa yangu nlkuwa nachart naye yupo cuba akawa anashangaa kwa nin muda wote nipo online wakat yeye anaingia kwa mwezi mara moja
 
Tunanyanyua mikono juu kuomBa Dua'a kwa Moula-karimu awaSaidie na awapeTahfifu na Elimu ya mafao wote.amin
 
Duu jamaa katundika mpaka flag ya bongo yaani ili tumuone man.. Lakini Cuba kwa medical studies ni world class. Nenda baba....utafika tuu.
 
FB iko kweli huko ? siyo kama China wamezifunga? Naomba nijulishe kwa hili silijui..
 
sasa hawanao cuba unaenda kusoma nini au mnajifunza ujamaa..watu wengine bana ..watu tumepiga shule hapa hapa tena shule za kata tumekamata vitengo tunapiga noti tu kama hatuna akili nzuri
 
kweli mkuu kule gharama ya internet ni kubwa kupita maelezo..kuna jamaa yangu nlkuwa nachart naye yupo cuba akawa anashangaa kwa nin muda wote nipo online wakat yeye anaingia kwa mwezi mara moja

Duuh simchezo..but nawaaminia najua ni mafighter..kama wameweza kusoma bongo hope huko hawatoshindwa..
 
sasa hawanao cuba unaenda kusoma nini au mnajifunza ujamaa..watu wengine bana ..watu tumepiga shule hapa hapa tena shule za kata tumekamata vitengo tunapiga noti tu kama hatuna akili nzuri

Kama hujui kaa kimya..wewe hujui kama cuba inasifika kwa udaktari..hapa tanzania kuna madAktari bingwa kibao kutoka cuba wanatupa tafu..wewe kwa wivu wako unataka kuponda..au unataka kila mtu afuate njia uliopitia wewe...
 
sasa hawanao cuba unaenda kusoma nini au mnajifunza ujamaa..watu wengine bana ..watu tumepiga shule hapa hapa tena shule za kata tumekamata vitengo tunapiga noti tu kama hatuna akili nzuri

Sikushangai kwasababu ata jina lako tu linaonyesha uchafu wako hv unajua n nch ipi sasa hv inasifka kwa kutoa MD (MEDICAL DOCTORS) wa ukweli??? Kama ujui tulia usijifanye unajua kisa unafanya kazi wenzako wanafnya kazi UN, US EMBASSY na bado wanawpeleka wtoto wao cuba kwan hawajaziona MUHAS CUHAS KCMC,HKMU IMTU???
 
Hiyo picha ni ya EXHIBITION msitudanganye hapa wewe mtoa hoja na wenzako. Inawezekana kweli wanamaisha magumu lakini siyo ya kiasi cha kulala kwenye nyumba za nyasi na kutundika nguo madirishani. Wizi mtupu! Komaeni vijana dunia nzima inajua nondo za MD za ukweli kutoka CUBA. Maisha magumu hata hapa bongo mpaka wanafunzi wa vyuo vikuu wanajiuza na vidume wanashindia mlo mmoja na maji ya bomba.
 
Umesahau kulala kwenye sakafu alaf wanasema warud bongo???? Wacha vjana wakomae cuba may be CASTRO anaweza akawaajiri kuwatibu makomandooo wake
 
Back
Top Bottom