Daah af msela wangu kanyanyuka last ijumaa kupiga md...Mungu amtangulie aisee
mkuu acha mawazo ya kichawi chawi mkuu, kwani wakikaa hapa nyumbani tofauti yake itakua ipi?? ni vyema serikali kusomesha awtu wetu nje kwa wingi iwezekanavyo ili tujifunze na wengine wanafanya nini, dunia ya sasa si kama ya zamani mkuu, huo ndio mpango mzimakwan tz hamna vyuo,km life gumu basi warudi 2 home
Ndio maana yule msela wangu hata fb kuingia kwa manati...kumbe inawezekana hela ya kuweka bando ni utata..mungu atawasaudia..mchumia juani hulia kivulini
kweli mkuu kule gharama ya internet ni kubwa kupita maelezo..kuna jamaa yangu nlkuwa nachart naye yupo cuba akawa anashangaa kwa nin muda wote nipo online wakat yeye anaingia kwa mwezi mara moja
sasa hawanao cuba unaenda kusoma nini au mnajifunza ujamaa..watu wengine bana ..watu tumepiga shule hapa hapa tena shule za kata tumekamata vitengo tunapiga noti tu kama hatuna akili nzuri
sasa hawanao cuba unaenda kusoma nini au mnajifunza ujamaa..watu wengine bana ..watu tumepiga shule hapa hapa tena shule za kata tumekamata vitengo tunapiga noti tu kama hatuna akili nzuri
Hiyo picha ni ya EXHIBITION msitudanganye hapa wewe mtoa hoja na wenzako. Inawezekana kweli wanamaisha magumu lakini siyo ya kiasi cha kulala kwenye nyumba za nyasi na kutundika nguo madirishani. Wizi mtupu! Komaeni vijana dunia nzima inajua nondo za MD za ukweli kutoka CUBA. Maisha magumu hata hapa bongo mpaka wanafunzi wa vyuo vikuu wanajiuza na vidume wanashindia mlo mmoja na maji ya bomba.