Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

CHIKIRA MTABARI ni jina langu nilipewa na wazazi wangu sasa nashangaa unavyosema ni la ajabu ajabu! lina uajabu gani wewe mtoa uzi! Tena wewe mtoa post unitake radhi
 
CHIKIRA MTABARI ni jina langu nilipewa na wazazi wangu sasa nashangaa unavyosema ni la ajabu ajabu! lina uajabu gani wewe mtoa uzi! Tena wewe mtoa post unitake radhi
mkuu pole sana kwa hilo. kichwa cha uzi kina vitu viwili: majina ya ajabuajabu na majina ya pekee. jina lako ni zuri sana na lipo ktk kipengele cha majina ya pekee. asante na hongeta kwa jina zuri la pekee.
 
kipindi cha masika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu pole sana kwa hilo. kichwa cha uzi kina vitu viwili: majina ya ajabuajabu na majina ya pekee. jina lako ni zuri sana na lipo ktk kipengele cha majina ya pekee. asante na hongeta kwa jina zuri la pekee.
Muulize Mshana Jr na Amavubi watakuambia jina langu ni la kabila gani
 
Kuna mmoja aliletaga thread mwaka 2013 akiomba ushauri eti akitembea makalio yake yanatikisika haswa na vijana wanampigia miluzi, kumbe ni mwanaume bwana.
Sasa kuna siku mwaka huo huo akafanya kosa, mod akaunganisha ID yake ya kike na ya kiume ambayo ni maarufu.
Huyu aliitwa giLesi aliyejaaliwa.
hahahahaaaaaaaaaaaa nimeshamfahamu huyo mtu aiseee nami nakumbuka alikuwa balaaa saana
nawapenda sana mamods wanafanya kazi kweli waliweka wazi makitu yake hahahahahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom