Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

hahahahaaaaaaaaaaaa nimeshamfahamu huyo mtu aiseee nami nakumbuka alikuwa balaaa saana
nawapenda sana mamods wanafanya kazi kweli waliweka wazi makitu yake hahahahahahaaaaaa
aliniachaga hoi yule! Eti amejaribu kuvaa taiti mbili mbili lakini wowowo zinacheza tu kwenye kipedo, kumbe ni dume bwana!
Nahisi kuna watu walimtongoza kabisa kwa kuvuta picha ya mzigo unaobanwa lakini unatikisika tu.
 
Kuna majina ya pekee au ya ajabu kiaina humu jukwaani. naweka orodha hapa kisha mhusika akiona jina au ID yake aitike tujue yupo, unaweza kuongeza majina mengine ya ajabuajabu!
1. Uporo wa wali Ndondo
2. Kunguni wa Ulaya
3. Mhuni
4. Jambazi
5. Kaka Jambazi
6. Mikataba feki
7. Mkwepa kodi
8. Fisadi kuu
9. Nyani Ngabu
10. Chikira Mtibira
11. Bigbootylover
12. Robot la matope
13. Konda wa bodaboda
14. Babu wa Kambo
15. Kipara kipya
16. Jipu kubwa
17. Ongeza wengine wa ajabuajabu/wa pekee
BUFA
ibilisi
Babu wa Kambo
MANI
mostgala
mtu mzito
jichawi
 
Back
Top Bottom