Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

mngetaja maeneo husika. pengine maeneo tofauti na salamu ziko tofauti japo zinafanana
Lugha ya makabila zaidi ya 120 yaliyopo nchini kwako unazifahamu zote ?? Haya hiyo salaam utaikuta wilaya ya Hai.
 
Kuna majina ya pekee au ya ajabu kiaina humu jukwaani. naweka orodha hapa kisha mhusika akiona jina au ID yake aitike tujue yupo, unaweza kuongeza majina mengine ya ajabuajabu!
1. Uporo wa wali Ndondo
2. Kunguni wa Ulaya
3. Mhuni
4. Jambazi
5. Kaka Jambazi
6. Mikataba feki
7. Mkwepa kodi
8. Fisadi kuu
9. Nyani Ngabu
10. Chikira Mtibira
11. Bigbootylover
12. Robot la matope
13. Konda wa bodaboda
14. Babu wa Kambo
15. Kipara kipya
16. Jipu kubwa
17. Ongeza wengine wa ajabuajabu/wa pekee

Kukumdogo na Uso wa nyoka, haya majina yananiacha hoi balaa.
 
ufyudhi. hili jina ukicheck na avatar yake ni balaa. mi nimecheka hadi nikaanguka.
 
Back
Top Bottom