Yajue Majina ya kichagga na maana zake.

Mbee...mtoto wa kwanza wa kiume.
Lelo...mtoto wa pili wa kiume.
Sir..Saa... Mtoto wa pili wa kiume pia.
Rosalia lazima apewe mtoto wa kwanza wa kiume.
Rosalia, naomba unieleweshe kwa hapo, very interesting
 
Kuwa mchagga ni sawa na kuwa na degree ya biashara!! Hata kama hujawahi kuingia darasani!! Nashukuru Mungu sana kuwa mchagga!! Karibuni Moshi mji msafi kuliko yote Tanzania!!
Kwa kweli
 
Rashoseolokyaeli = Acha vyote mwangukie Mungu
Awumsuri = utajiri
Sia=Rehema
Eliangringa=?
Monyaichi=?
Aisa=?
Iche=?
Anande=?
Hayo ya chini kama kuna mtu anajua maana yake, Asante sana ni ya upande wa machame
 
Rashoseolokyaeli = Acha vyote mwangukie Mungu
Awumsuri = utajiri
Sia=Rehema
Eliangringa=?
Monyaichi=?
Aisa=?
Iche=?
Anande=?
Hayo ya chini kama kuna mtu anajua maana yake, Asante sana ni ya upande wa machame
Hayo mengine ya kimeru zaidi ila wachaga wa machame,siha wanaendana majina hayo na wameru sana
 
Rashoseolokyaeli = Acha vyote mwangukie Mungu
Awumsuri = utajiri
Sia=Rehema
Eliangringa=?
Monyaichi=?
Aisa=?
Iche=?
Anande=?
Hayo ya chini kama kuna mtu anajua maana yake, Asante sana ni ya upande wa machame
Sia = Furaha
Eliangiringa = Mungu anilinda
Monyaichi= Yeye anajua
Aisaa= wakati ni huu
 
Tafsir yako yote imetoka
Kwa wakibosho,machame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…