harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
I proud to be chaggan!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu akili yako hiyo na hiyo avatar [emoji33]Na anitombe je?
I proud to be chaggan!
Nkakisali=mke wa kisaliNkamangi-mke wa Mangi
Nkabahati-Mwenye Bahati
Nkakyeku-msichana wa tatu
Nkashida-mwanamke aliyezaliwa kipindi cha shida
Eliangiringa =Mungu ananilindaElimringi- Mungu mlinzi
Eliaingiringa-??
Pharaoh- Asiye kubali kushindwa
Nadhani hakuna tofautiTofauti Kati ya Elisante na Asanteeli ni nini?
We ndio anderson ndenga au sio weweNdenga===Probability of (getting or loosing)
Actal wife hapa aniambia Manka ilitakiwa kuw Mamka yaani mama mkwe yaani watoto wa pili wa like kuzaliwa huwa wanapewa jina ma mama mkwe yaani mama wa mke wako.opposite ya manka ambae ni mtoto wa pili wa kike ni Ndeyanka mtoto wa pili wa kiume.
Jamani mweshimuni Mungu...Mbee...mtoto wa kwanza wa kiume.
Lelo...mtoto wa pili wa kiume.
Sir..Saa... Mtoto wa pili wa kiume pia.
Rosalia lazima apewe mtoto wa kwanza wa kiume.