Yajue Majina ya kichagga na maana zake.

Elimringi- Mungu mlinzi
Eliaingiringa-??
Pharaoh- Asiye kubali kushindwa
 
Nkamangi-mke wa Mangi
Nkabahati-Mwenye Bahati
Nkakyeku-msichana wa tatu
Nkashida-mwanamke aliyezaliwa kipindi cha shida
 
Zamani watu wa machame juu kule nkuu,lyamungo nk walikuwa wakisema "Nkeenda stelingi" wakimaanisha "nakwenda stelingi" stelingi ni huku barabara ya lami (maili sita) enzi hizo watu wa huko walikuwa hawajui tofauti kati ya stelingi(usukani wa gari)na gari lenyewe hivyo hata barabara ya gari iliitwa barabara ya stelingi! Hadi leo wazee wa huko bado wanatumia jina hilo, Naenda barabara ya stelingi!! Big up chaggaz!
 
opposite ya manka ambae ni mtoto wa pili wa kike ni Ndeyanka mtoto wa pili wa kiume.
Actal wife hapa aniambia Manka ilitakiwa kuw Mamka yaani mama mkwe yaani watoto wa pili wa like kuzaliwa huwa wanapewa jina ma mama mkwe yaani mama wa mke wako.
So Manka limetoholewa kutokama na neno Mamka yaani mama mkwe. Natuma wale wachagga wa kule marangu hadi mamba mkuje hapa mnisahihishe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…