Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

We lengo lako uwajue wanyakyusa wa JF
Tunsume - tumwombe Mungu
Tumpale - tumsifu Mungu

Kumbuka wanyakyusa ni washika dini sana.
Kanisa Moravian ndilo maarufu sana kule.
Ha ha ha ni kweli Mkuu.
Wengi Moravian..
 
Anosisye =?
Lusubilo=?
 
Video ya raha ya shanga ujue kuzichezea kwenye majambozi, soma maelezo hapo kwenye photo ili uchukue link ya kwenda kuitazama video hii tamu...!!!

Hii utakuwa imepotea njia
Shanga na majina ya wanyakwi wapi na wapi
 
Ukicheki maana, Nafikiri tuna majina Poa sana, inashangaza tunavyobabaika na haya ya wazungu na waarabu.
 
Back
Top Bottom