Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

nyongeza kuhusu majina ya ukoo kwa wangoni:

mpangala
mahundi
haule
chale
ndomba
ndimbo
nduguru
ndonde
ngatunga
hinju
ndumbaro
nguruwe
hyera
mbawala
nyoha
katembo
mbunda
kapinga
Hao wote ni wamatengo hamna jina la kingoni hapo labda Nguruwe na Nyoha kama ulikuwa na maana ya Nyoka
 
Hapo kwa Wahaya, ndugu umechemka vibaya sana.
Umetaja majina ya watu wala hizo siyo koo.
N i ngumu kufahamu koo za Wahaya.
 
Hizo sio koo za wahaya, na ukienda uhayani mara nyingi watu hawatumii majina ya koo zao ila majina yao ya kimila wanayopewa utotoni. Ni Rugaimukamu wachache mno ambao wanaundugu wowote. Baadhi ya koo za wahaya ninazozifahamu ni:

Hinda
Nkango
Aba-Simba,
Aba-Heta,
Aba-Siita,
Aba-Yuzi,
Aba-Lwani,
Aba-Kumilizi,
Aba-Endangabo...
 
Tumekusoma Mkuu;

Labda itakuwa vyema ukitaja hizo koo. Lakini maana halisi tulikuwa tunapenda tujue SURNAMES za Kijadi.

Kwa anayeweza, hata tukiambiwa maana ya majina inafaa.
Majina ya koo na surnames za kijadi (kwa Wahaya), ni vitu viwili tofauti.
 
Hivi unaanzaje kuwasahau waluguru kwenye orodha. Banzi njoo huku...!
 
31.Kilonzo
 
wanyiha-mbozi(SONGWE)
NZUNDA
MWAMLIMA
MWASENGA
MWAMENGO
MWASHIUYA
MWASHITETE
MWASHILINDI
MWAPASHI
MWILENGA
MGALLA
MGULLA
MWAWEZA
MWAMUNDI
DULLE
....ENDELEZA TAFADHARI....
 
Wajita ongeza nyambuli na nyambuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina ya ukoo ya wapare wa mwanga
Msuya
Mvungi
Mziray
Mshana
Msofe
Mshana
Mwanga
Msangi
Mfinanaga
Mkwizu
Mgonja
Mringo ukoo upo pia kwa wachaga
Msechu ukoo huu pia uko kwa wachaga
 

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?

Majina ni kama ufuatavyo:

Update No. 2


1. Wachagga
  • Massawe
  • Mushi
  • Mosha
  • Temu
  • Mtei
  • Kimaro
  • Kimario
  • Mosha
  • Marealle
  • Lyimo
  • Chuwa
  • Mallya
  • Kisaka
  • Komu
  • Mchau
  • Silayo
  • Makundi
  • Mboro
  • Sangawe
  • Tafadhali endelea . . .
2. Wahaya:
  • Rugaimukamu
  • Rutakyamirwa
  • Rutabanzibwa
  • Tafadhali Endelea
3. Wanyakyusa
  • Tuntufye
  • Mwakyusa
  • Mwakalebela
  • Ntitu
  • Mwakosya
  • Andongolile
  • Bhongwenda
  • Mmasyanju
  • Anyasime
  • Akasopo
  • Mwamfupe
  • Mwafwetelele
  • Mwangafi
  • Tujhobepo
  • Mwasongwe
  • Mwakatimbo
  • Mwamfupe
  • Mwaiapaja
  • Mwaisaka
  • Mwakamela
  • Mwanjelwa
  • Mwakilasa
  • Mwasakafyuka
  • Mwakyusa
  • Mwakatumbula
  • Mwasubila
  • Mwankenja
  • Mwakatundu
  • Mwakalinga
  • Mwakyembe
  • Mwakyambiki
  • Mwaipasi
  • Mwakapugi
  • Mwaisemba
  • Mwandemani
  • Mwakoba
  • Mwakajinga
  • Mwanguku
  • Mwalwisi
  • Mwalupindi
  • Mwamugobole
  • Mwankemwa
  • Tafadhali endeleza
4. Wangoni
  • soko
  • moyo
  • nguruwe
  • mbuzi
  • fusi
  • nyoni
  • Ndunguru
  • tembo
  • njovu
  • Komba
  • Mapunda
  • Gama
  • Mpambalioto
  • Songea
  • Mbano
  • Mtazama
  • Maseko
  • Zwangedaba
  • Mpezeni
  • Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
  • Otieno
  • Onditi
  • Omolo
  • Owino
  • Omondi
  • Ojwang'
  • Osodo
  • Odhiambo
  • Okinyi
  • Odipo
  • Ochuodho
  • Ondiek
  • Onyango
  • Otieno
  • Oludo
  • Okeyo
  • Oluoch
  • nk
6. Wakurya
  • Chacha
  • Mwita
  • Marwa
  • Matiku
  • Wambura
  • Nyarukamu
  • nk
7. Wasambaa
  • Semhando
  • Shelukindo
  • nk

8. Wasukuma...
  • Mabula
  • Masanja
  • Magembe
  • Masunga
  • Singiri
8. Wafipa
  • nkoswe
  • mpambwe
  • khamsini
  • mwanakatwe
  • nswima
  • mzindakaya
  • simbakavu
  • kagosha
  • mwananzila
  • mwanachifunda
  • sichone

  • Endeleza tafadhali
9. Wanyasa
  • komba
  • ndomba
  • nchimbi
  • ndunguru
  • kumburu
  • nkondola
  • kanjolonga
9. Wamatengo
  • Komba
  • Ndimbo
  • Ndomba
  • Ndunguru
  • Njelekela
  • Hyera

10. Wakinga
  • Chande
  • Sanga
  • Msigwa
  • Fungo

11. Wapare
  • Mbwambo
  • Mkwizu
  • Msuya
  • Mshana
  • Msangi
  • Twazihirwa
  • Nimzihirwa
  • Tumsifu
  • Ombeni
  • Mkazeni
  • Mbazi
  • Sifuni

12. Wabondei
  • Fungo

13. Wahehe
  • Mkwawa
  • Kihwele
  • Mng'ong'o

14. Wajita
  • Masatu
  • Manyama
  • Mafuru
  • Mafwere
  • Mafwimbo
  • Magafu
  • Majigo
  • Majubu

15. Wamakonde
  • Bachikeli
  • Chumuni
  • Chilingi
  • Mutoka
  • Nyumba
  • Chimu

16. Waha


  • Twagiraneza
  • Zunguye
  • Ntuyabaliwe
  • Twakaniki
  • Hungu

17. Wagogo
  • Chipanha
  • Chigwiyemisi
  • Chihonyhi
  • Chiligati
  • Chibehe
  • Chibulunje
  • Chikoti
  • Malecela
 
Apo kwa waluo unataja majina ya ukooo au majina ya watu????
 
Wachaga
Kimambo
Materu
Munishi
Foya
Kisanga
Macha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…