Giningi01
Senior Member
- Nov 19, 2020
- 190
- 183
Hao wote ni wamatengo hamna jina la kingoni hapo labda Nguruwe na Nyoha kama ulikuwa na maana ya Nyokanyongeza kuhusu majina ya ukoo kwa wangoni:
mpangala
mahundi
haule
chale
ndomba
ndimbo
nduguru
ndonde
ngatunga
hinju
ndumbaro
nguruwe
hyera
mbawala
nyoha
katembo
mbunda
kapinga