Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania


hahahaa, mjukuu wako atakuwa citizen of the world. Hana kabila wala ukoo, haha. Duh
 
Wakinga
Beseni
Sanga
koroboi
ngajilo
Sekeni
Tusengile
Scania
Tuntemeke
LIPINDULE
Kapamato
 
Majina mengi, kama sio yote, ya koo za kisambaa yanaanza na She- na Sio Se- kama wengne wanavyojitangaza au wewe ulivyoandika hapo juu. She maana yake ni kama kusema (Decendant) Wa-.
Mfano
.Shemghanga na sio Semganga (mghanga ni msamiati wa kisambaa Mganga)
.Sheshui.
.Shemhando (sio Semhando)
.Shekanga
.Shemnghoma (sio sahihi kusema Shemngoma)
.Shekimwei (sio Shekimweli)
.Shemshashu
.Shenghawa.

Hakuna Shetani kama mpumbavu mmoja alivyo orodhesha hapo juu.

Wasambaa wengi ambao majina ya koo zao kwa asili kabisa yanaanza na She- wanaireplace hyo She- (kibantu) na Se- (ambayo sio kibantu). Ni upotoshaji, na ni ujinga.
 
Jamani makabila yako mengi mbona mmesahau wanyiha na wengine kibao?

WANYIHA:
Nzowa
Mwampashi
Mwang'amba
Nankonde
Nk.

Wairaq (wambulu)
Bayo
Tluway (mvua)
Tseama(Jua)
Baha (Fisi)
Bura (Pombe)
hawa majina yao yanaendana kwa wanaume na wanawake nk.

WAMASAI
Ole Saitabau
Ole lotakajaki
Molel
Mepkori
Sokoinei
nk.

WAMANG'ATI
Kitaghlakla
Getakno
Gijeng
Bajuta
nk.

WAMERU
Sirikwa
Mbise
Ndossi
Sarakikya
Urassa
nk.

Kwa kweli kuna majina mengi sana ya koo mbalimbali

hebu endelezeni.
 
[h=2]Yajue Majina Ya Ukoo Katika Makabila Mbalimbali Tanzania[/h]
Wana JF;

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?

Majina ni kama ufuatavyo:

Update No. 2


1. Wachagga
  • Massawe
  • Mushi
  • Mosha
  • Temu
  • Mtei
  • Kimaro
  • Kimario
  • Mosha
  • Marealle
  • Lyimo
  • Chuwa
  • Mallya
  • Kisaka
  • Komu
  • Mchau
  • Silayo
  • Makundi
  • Mboro
  • Sangawe
  • Shirima
  • Ngowi
  • Ngooh
  • Ngoo
  • Tarimo
  • Laswai
  • Tesha
  • Olomi
  • Utou
  • Mmari
  • Minja
  • Salema
  • Salemi
  • Lamwai
  • Lyakurwa
  • Lyaruu
  • Chuwa
  • Mremi
  • Mrina
  • Tafadhali endelea . . .
2. Wahaya:
  • Rugaimukamu
  • Rutakyamirwa
  • Rutabanzibwa
  • Tafadhali Endelea
3. Wanyakyusa
  • Tuntufye
  • Mwakyusa
  • Mwakalebela
  • Ntitu
  • Mwakosya
  • Andongolile
  • Bhongwenda
  • Mmasyanju
  • Anyasime
  • Akasopo
  • Mwamfupe
  • Mwafwetelele
  • Mwangafi
  • Tujhobepo
  • Mwasongwe
  • Mwakatimbo
  • Mwamfupe
  • Mwaiapaja
  • Mwaisaka
  • Mwakamela
  • Mwanjelwa
  • Mwakilasa
  • Mwasakafyuka
  • Mwakyusa
  • Mwakatumbula
  • Mwasubila
  • Mwankenja
  • Mwakatundu
  • Mwakalinga
  • Mwakyembe
  • Mwakyambiki
  • Mwaipasi
  • Mwakapugi
  • Mwaisemba
  • Mwandemani
  • Mwakoba
  • Mwakajinga
  • Mwanguku
  • Mwalwisi
  • Mwalupindi
  • Mwamugobole
  • Mwankemwa
  • Tafadhali endeleza
4. Wangoni
  • soko
  • moyo
  • nguruwe
  • mbuzi
  • fusi
  • nyoni
  • Ndunguru
  • tembo
  • njovu
  • Komba
  • Mapunda
  • Gama
  • Mpambalioto
  • Songea
  • Mbano
  • Mtazama
  • Maseko
  • Zwangedaba
  • Mpezeni
  • Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
  • Otieno
  • Onditi
  • Omolo
  • Owino
  • Omondi
  • Ojwang'
  • Osodo
  • Odhiambo
  • Okinyi
  • Odipo
  • Ochuodho
  • Ondiek
  • Onyango
  • Otieno
  • Oludo
  • Okeyo
  • Oluoch
  • nk
6. Wakurya
  • Chacha
  • Mwita
  • Marwa
  • Matiku
  • Wambura
  • Nyarukamu
  • nk
7. Wasambaa
  • Semhando
  • Shelukindo
  • nk

8. Wasukuma...
  • Mabula
  • Masanja
  • Magembe
  • Masunga
  • Singiri
8. Wafipa
  • nkoswe
  • mpambwe
  • khamsini
  • mwanakatwe
  • nswima
  • mzindakaya
  • simbakavu
  • kagosha
  • mwananzila
  • mwanachifunda
  • sichone
  • Endeleza tafadhali
9. Wanyasa
  • komba
  • ndomba
  • nchimbi
  • ndunguru
  • kumburu
  • nkondola
  • kanjolonga
9. Wamatengo
  • Komba

10. Wakinga
  • Chande
  • Sanga
  • Msigwa
  • Fungo

11. Wapare
  • Mbwambo
  • Mkwizu
  • Msuya
  • Mshana
  • Msangi
  • Twazihirwa
  • Nimzihirwa
  • Tumsifu
  • Ombeni
  • Mkazeni
  • Mbazi
  • Sifuni


12. Wabondei
  • Fungo

13. Wahehe
  • Mkwawa
  • Kihwele
  • Mng'ong'o

14. Wajita
  • Masatu
  • Manyama
  • Mafuru
  • Mafwere
  • Mafwimbo
  • Magafu
  • Majigo
  • Majubu

15. Wamakonde
  • Bachikeli
  • Chumuni
  • Chilingi
  • Mutoka
  • Nyumba
  • Chimu

16. Waha


  • Twagiraneza
  • Zunguye
  • Ntuyabaliwe
  • Twakaniki
  • Hungu

17. Wagogo
  • Chipanha
  • Chigwiyemisi
  • Chihonyhi
  • Chiligati
  • Chibehe
  • Chibulunje
  • Chikoti
  • Malecela
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo au Makabila kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126.
 
Hapo kwa wamakonde umebuni tu majina hakuna hizo koo!hayo ni majina tu na ni story za zamani kuhusu wamakonde wa msumbiji!bora ungeuliza hizi ndo baadh ya koo;
nnauye
Nandonde,
luwono,
nangulukuta,
chimbyangu,
nntela,
mniwasa,
mnanguje,
nankalava,
Malocho
Nnayahe
 
WASUKUMA:MASANJA,MASALU,MASANGU, MABELE,MAYUNGA, MASUNGA, MANG'OMBE,MALULU, MAHONGO,MAYUMA, MAKOLO,MABHULI.n.k
 

kweli tunatofautiana kimtazamo kama wewe umeona ukabila hapo basi una matatizo makubwa kuliko hayo
 

tuambie mkuu chanzo cha hayo majina ya kina Otonde,Omolo na kina Mabere Marando
 

naongezea na
1. Kashimba
2. Shemtawa
3. Mkwizu
4. Shahidu
5. Haangwa(na sio hangwa)
6. Shemndoa (na sio shemndolwa)
7. Mndoa
8. Mpiipii(na sio mpilipili)
9. Shemng'ombe
10.Ng'wakiindo
11.Shemdoe
12.Shehemba
13.Jambia
14.Ndona
15.Shenghunde (na sio shenkunde)

ukianza na se badala ya she baadhi ya majina yatageuka kuwa ya kibondei mfano (Shemhando na shemndoa likianza na se badala ya she. Semhando, semndoa yanabadilika na kuwa ya kibondei. na baadhi yakianza na Kwa(mfano Kwamndoa, Kwamhando yanabadilika na kuwa ya kizigua
 
WASUKUMA:MASANJA,MASALU,MASANGU, MABELE,MAYUNGA, MASUNGA, MANG'OMBE,MALULU, MAHONGO,MAYUMA, MAKOLO,MABHULI.n.k
 

hapo kwa Wairaqw(wambulu) umetaja ukoo moja tu wa Bayo hayo mengine ni majina tu mkuu
 
Waha:

Ntahondi
Ntawiha
Ntabiliho
Ndituye
Bigenda bilunda
Nyegele nyegele bhananje
Kanyomeye
Umwana wi nkoti
 
kwa wahaya hayo siyo majina ya koo ila ni ya familia mojamoja!
koo ni kama;
Waziba
Wagombe
Wakuma
Wazilambogo
walwani
watundu
n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…