Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,299
Kuna bwana mmoja anakwenda kwa jina la David Shaha***a yaani namaanisha zile mbegu za kiume sijui ni ukoo gani huu sasa yeye pale kazini kwake kaamu kujiita David Shahawi ili kupotezea kwakua kulitamka ni aibu! Nitafurahi sana kujua huo ni ukoo gani.