thanks kiongoziMajina mengi, kama sio yote, ya koo za kisambaa yanaanza na She- na Sio Se- kama wengne wanavyojitangaza au wewe ulivyoandika hapo juu. She maana yake ni kama kusema (Decendant) Wa-.
Mfano
.Shemghanga na sio Semganga (mghanga ni msamiati wa kisambaa Mganga)
.Sheshui.
.Shemhando (sio Semhando)
.Shekanga
.Shemnghoma (sio sahihi kusema Shemngoma)
.Shekimwei (sio Shekimweli)
.Shemshashu
.Shenghawa.
Hakuna Shetani kama mpumbavu mmoja alivyo orodhesha hapo juu.
Wasambaa wengi ambao majina ya koo zao kwa asili kabisa yanaanza na She- wanaireplace hyo She- (kibantu) na Se- (ambayo sio kibantu). Ni upotoshaji, na ni ujinga.
Tumekusoma Mkuu;
Labda itakuwa vyema ukitaja hizo koo. Lakini maana halisi tulikuwa tunapenda tujue SURNAMES za Kijadi.
Kwa anayeweza, hata tukiambiwa maana ya majina inafaa.
Wana JF;
Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?
Majina ni kama ufuatavyo:
Update No. 2
1. Wachagga
2. Wahaya:
- Massawe
- Mushi
- Mosha
- Temu
- Mtei
- Kimaro
- Kimario
- Mosha
- Marealle
- Lyimo
- Chuwa
- Mallya
- Kisaka
- Komu
- Mchau
- Silayo
- Makundi
- Mboro
- Sangawe
- Tafadhali endelea . . .
3. Wanyakyusa
- Rugaimukamu
- Rutakyamirwa
- Rutabanzibwa
- Tafadhali Endelea
4. Wangoni
- Tuntufye
- Mwakyusa
- Mwakalebela
- Ntitu
- Mwakosya
- Andongolile
- Bhongwenda
- Mmasyanju
- Anyasime
- Akasopo
- Mwamfupe
- Mwafwetelele
- Mwangafi
- Tujhobepo
- Mwasongwe
- Mwakatimbo
- Mwamfupe
- Mwaiapaja
- Mwaisaka
- Mwakamela
- Mwanjelwa
- Mwakilasa
- Mwasakafyuka
- Mwakyusa
- Mwakatumbula
- Mwasubila
- Mwankenja
- Mwakatundu
- Mwakalinga[/COLOR]
[*]Mwakyembe
[*]Mwakyambiki
[*]Mwaipasi
[*]Mwakapugi
[*]Mwaisemba
[*]Mwandemani
[*]Mwakoba
[*]Mwakajinga
[*]Mwanguku
[*]Mwalwisi
[*]Mwalupindi
[*]Mwamugobole
[*]Mwankemwa
[*]Tafadhali endeleza
5. Wajaluo
- soko
- moyo
- nguruwe
- mbuzi
- fusi
- nyoni
- Ndunguru
- tembo
- njovu
- Komba
- Mapunda
- Gama
- Mpambalioto
- Songea
- Mbano
- Mtazama
- Maseko
- Zwangedaba
- Mpezeni
- Endeleza tafadhali . . .
6. Wakurya
- Otieno
- Onditi
- Omolo
- Owino
- Omondi
- Ojwang'
- Osodo
- Odhiambo
- Okinyi
- Odipo
- Ochuodho
- Ondiek
- Onyango
- Otieno
- Oludo
- Okeyo
- Oluoch
- nk
7. Wasambaa
- Chacha
- Mwita
- Marwa
- Matiku
- Wambura
- Nyarukamu
- nk
- Semhando
- Shelukindo
- nk
8. Wasukuma...
8. Wafipa
- Mabula
- Masanja
- Magembe
- Masunga
- Singiri
9. Wanyasa
- nkoswe
- mpambwe
- khamsini
- mwanakatwe
- nswima
- mzindakaya
- simbakavu
- kagosha
- mwananzila
- mwanachifunda
- sichone
- Endeleza tafadhali
9. Wamatengo
- komba
- ndomba
- nchimbi
- ndunguru
- kumburu
- nkondola
- kanjolonga
- Komba
10. Wakinga
- Chande
- Sanga
- Msigwa
- Fungo
11. Wapare
- Mbwambo
- Mkwizu
- Msuya
- Mshana
- Msangi
- Twazihirwa
- Nimzihirwa
- Tumsifu
- Ombeni
- Mkazeni
- Mbazi
- Sifuni
12. Wabondei
- Fungo
13. Wahehe
- Mkwawa
- Kihwele
- Mng'ong'o
14. Wajita
- Masatu
- Manyama
- Mafuru
- Mafwere
- Mafwimbo
- Magafu
- Majigo
- Majubu
15. Wamakonde
- Bachikeli
- Chumuni
- Chilingi
- Mutoka
- Nyumba
- Chimu
16. Waha
- Twagiraneza
- Zunguye
- Ntuyabaliwe
- Twakaniki
- Hungu
17. Wagogo
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo au Makabila kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126.
- Chipanha
- Chigwiyemisi
- Chihonyhi
- Chiligati
- Chibehe
- Chibulunje
- Chikoti
- Malecela
Wanyamwezi?????
Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga
...........
endeleeeni ma Ngosha the Don King
naongezea na
1. Kashimba
2. Shemtawa
3. Mkwizu
4. Shahidu
5. Haangwa(na sio hangwa)
6. Shemndoa (na sio shemndolwa)
7. Mndoa
8. Mpiipii(na sio mpilipili)
9. Shemng'ombe
10.Ng'wakiindo
11.Shemdoe
12.Shehemba
13.Jambia
14.Ndona
15.Shenghunde (na sio shenkunde)
ukianza na se badala ya she baadhi ya majina yatageuka kuwa ya kibondei mfano (Shemhando na shemndoa likianza na se badala ya she. Semhando, semndoa yanabadilika na kuwa ya kibondei. na baadhi yakianza na Kwa(mfano Kwamndoa, Kwamhando yanabadilika na kuwa ya kizigua
Wapemba
Shaame
Shamte
Shaweji
Makame
Kombo
Mabruki
Wagosi wa kaya
Shemtoi
Shekiondo
Shelukindo
Shehoza
Shebarua
She..... kwa kifupi we endelea na she she she, hao wote ni wasambaa, hadi SHETANI naye ni ndugu yao.