Yajue mambo ambayo watu huyafanya kwa ku force hata kama yanawaumiza.

Yajue mambo ambayo watu huyafanya kwa ku force hata kama yanawaumiza.

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Wanajopo , poleni na pilika mbalimbali za kutafuta na kujenga chumi za familia na taifa.

Naomba niwaletee uzi wa kuambiana baadhi ya mambo ambayo huwa tunayafanya tena kwa kuyang'ang'ania hata kama hayana tija kwenye maisha.

Haya mambo yanaweza kuwepo kwenye nyanja mbalimbali aidha za kijamii, kiuchumi au hata kisiasa.

Kwa mfano ukiachana aina ya mahusiano ya kimapenzi uliyonayo kwa sasa ni kitu gani kingine unakifanya kwa ku force ?

Au ukiachana na nguo unazovaa kwa kuazima ili watu wakuone mambo poa, ni jambo lipi lingine unalifanya kwa ku force ?
 
Back
Top Bottom