Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
1. SLEEPOVER
Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l.

2. ONE NIGHT STAND
Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile.

3. BODY COUNT
Hii ni idadi watu uliofanya nao ngono.

Ongezea mengine.
 
4.Bed- to- bed- midfielder, jina linapewa wanawake wanaopenda kubadilisha wanaume/ women with multiple sexual partners
 
Back
Top Bottom