Yajue maneno ya kibiashara na maana zake

Nimejifunza vizuri sana leo uzi una madini na umetafsiriwa kwa lugha nyepesi.
Sema wafanyabiashara ni watu wajanja sana yaani akiona anakudai halafu umekuwa kichwa ngumu kulipa anakufanyia Factoring(anakuuza kwa mtu mwingine) kisha unaanza kudaiwa tena upya kwa spidi mpya hadi unyooshe mikono uwalipe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…