MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
IntelijensiaHivi la nchini kwetu linaitwaje vile??
List haipangwi kwa mapenzi ya mtu, it is technically based!weka urusi moja achana na watu wanaopenda promo kila kitu ndo waonekane wamepiga kaz watu wanauawa hvyoo nchin mwao kunawatu wanapiga kazi kmya kmya huwezi jua na hawaliilii njaa wakikosa hela utasikia bank moja imechapwa hela ndefu kimtandao
I really like your intelligence stories....can you tell us more without causing any harm inside the so called,"system"The vatican intelligence and its fields of resources are second to none
hahaha unaogopa kung'olewa kucha na meno??? HhaahhaIntelijensia
TISSHivi la nchini kwetu linaitwaje vile??
mkuu, hata kama huwapendi, Wamarekani wanaongoza na Warusi wanafuataweka urusi moja achana na watu wanaopenda promo kila kitu ndo waonekane wamepiga kaz watu wanauawa hvyoo nchin mwao kunawatu wanapiga kazi kmya kmya huwezi jua na hawaliilii njaa wakikosa hela utasikia bank moja imechapwa hela ndefu kimtandao
ndiyoFBI nao ni majasusi?
Mkuu Tutakuja kukutafuta MabwepandeTISS
CIA na FBI wanaweza kukaa mbele ya NSA,sema CIA ni inahusika na mambo ya foreign
ISI hamna kitu..pakistan is a corrupted country intelligence yao hamna kitu kk..inaweza hata kuzidiwa na TISS[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazi kubwa ya mashirika ya kijasusi ni kukusanya, kuchambua na kuzifanyia kazi taarifa mbalimbali kwa ajili ya usalama wa taifa lolote na watu wake. mashirika yafuatayo yanaongoza kwa kuwa na wataalam wanaofanya matukio makubwa ya pekee na kutumia mbinu za kisasa, za hatari tena kwa teknolojia ya hali ya juu
1. CIA, FBI-Marekani
2. FSB(zamani KGB)-Urusi
3. Mossad-Israel
4. MI5/MI6-Uingereza
5. MSS-China
6. ISI-Pakistan
7. RAW-India