Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Hiyo itakuwa ngumu kwani ukihifadhi kwenye friji (fredge) zaidi sana itakaa wiki bila kuleta hitilafu kubwa ya kuharibika. Na ukiweeka kwenye freezer inakuwa mabarafu kiasi kwamba hauwezi kuitumia papo kwa papo na pia hupoteza ubora kwa haraka. Ni heri ukatunza matunda ukawa unablend pale inahitajika.Naitaji kujua namna yakutengeza juic inayoweza kukaa siku 7 bilakualibika au wikitatu yamatunda lkini
Kwanini usitengeneze juice kulingana na mahitaji na hata ikibaki ikae siku 2 isizidi 3!!!