Yajue masuala mbalimbali kuhusu Biashara ya kuuza Juisi ya matunda ya aina mbalimbali

Naitaji kujua namna yakutengeza juic inayoweza kukaa siku 7 bilakualibika au wikitatu yamatunda lkini
Hiyo itakuwa ngumu kwani ukihifadhi kwenye friji (fredge) zaidi sana itakaa wiki bila kuleta hitilafu kubwa ya kuharibika. Na ukiweeka kwenye freezer inakuwa mabarafu kiasi kwamba hauwezi kuitumia papo kwa papo na pia hupoteza ubora kwa haraka. Ni heri ukatunza matunda ukawa unablend pale inahitajika.

Kwanini usitengeneze juice kulingana na mahitaji na hata ikibaki ikae siku 2 isizidi 3!!!
 
Biashara ya Genge la Matunda inahitaji mtaji wa shilingi ngapi
 
Habari Wanajamvi

Naomba ushauri,

Nataka kuwekeza kwenye Biashara ya Juice ..Kama vile juice ya parachichi, tends, pansion, embe, chungwa.

Naomba kujua faida yake na changamoto zake?

Mtaji (pesa,vifaa)?
 
Mkuu bado upo Nyegezi??
 
Duh! Hata me nilishtuka mkuu nikataka kulaumu wanasiasa kupandisha vitu bei toka laki 2 had milion 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…