Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao


Hahaha, mwendo wa kuapa..
 
Mmmmmm mbona nchi zote ulizotaja ni za kidikiteta, kwa hiyo Tz nayo itakuwa mlengo huo!!
 
No chill in Africa. Emagine mnakuwa na "Wazihiri" wa TEHAMA alizungusha "alitaga" kidato cha nne. 😁
 
hapo wamekurupuka, hawajui hali halisi ya uraiani ilivyo.

wengine hawatumii VPN kwa ajili ya kuangalia tovuti zilizokatazwa, bali wanatumia VPN kupunguza makali ya gharama za vifurushi vya data. kiukweli tunaminywa mno kwenye data.

wakitaka watu waache kutumia VPN, warekebishe bei ya vifurushi vya data, walau kuwe na cha 1GB kwa wiki na cha 500MB kwa siku, wakifanya hivi wengi wataacha.
 
Kuna njia ya kufanya.. ukapata access ya kila kitu bila VPN.. na hata hao TCRA nitawaambia hiyo trick then ntawauliza swali ambalo wakinijibu naacha kutumia Internet Milele.
 
Nchi zote zenye Serikali kandamizi, zimezuia vpn na nchi yangu imejumuika
Aibu hii
 
Club House imekuwa ikinibembeleza kupata usingizi nashtuka kumeshakucha.
 

Kwa list ya nchi zilizopo hapo Shame on you tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…