Yakiwa yamebaki masaa kadhaa, ghafla nimemkumbuka 'Mwanazuoni Nguli' Oscar Auliq-Ice

ninosi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
151
Reaction score
333
Miongo kadhaa iliyopita Oscar Auliq-Ice alituasa haya, "Katika siasa, unajifunza kusema A = B, lakini katika hekima unajifunza kusema A = A."

Mafanikio ya A (Simba SC) Kimataifa yasiwafanye B (Yanga SC) wadhani kuwa hata wao wanaweza kuyapata. B = B linapokuja suala la Kimataifa.

NB: Sisi ni nani mpaka tubishane na 'Mwanazuoni Nguli' Oscar Auliq-Ice?!

Kwa kifupi sana, tuache kumjaribu Muumba kwa kuiombea kila la heri timu ambayo tunajua kabisa wameshaumaliza mwendo.
 
Utopolo nao wanajiita timu kubwa Africa, wakati wapo nafasi ya 75 Africa. Rubbish 🚮
 
Ukiachana na mihogo bac hii itawafaa Zaid be for the game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…