ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Miongo kadhaa iliyopita Oscar Auliq-Ice alituasa haya, "Katika siasa, unajifunza kusema A = B, lakini katika hekima unajifunza kusema A = A."
Mafanikio ya A (Simba SC) Kimataifa yasiwafanye B (Yanga SC) wadhani kuwa hata wao wanaweza kuyapata. B = B linapokuja suala la Kimataifa.
NB: Sisi ni nani mpaka tubishane na 'Mwanazuoni Nguli' Oscar Auliq-Ice?!
Kwa kifupi sana, tuache kumjaribu Muumba kwa kuiombea kila la heri timu ambayo tunajua kabisa wameshaumaliza mwendo.